Hivi kwanini Arusha tuko kimya mbunge wetu anasoteshwa jela bila sababu yoyote ya msingi?

Kwa kuwa hauna sababu ya msingi ya kutokua kimya.....

Km unataka ujiunge nae endelea na thread....

Kosa la uchochez....
Ulitaka tufanye nin na kaharibu kwa use... wake.

Muache afundishwe tofauti ya utawala... cheo... siasa... katiba... na mamlaka ..

Akirudi atakuwa mwanasiasa mzuuri saana...
Kama atazingatia elimu anayopewa mule ndani.
 
Hii kitu inaniuma sana ndo maana nauliza kwanini? Haiwezekani anayetutetea anasota tunaotetewa tuko kimya.. Hats kama sis ni mabata na makunguru lakini hebu tupazeni angalau sauti.

Hawa watu wanatuchezea michezo ya lijinga na sisi tunacheza nao
Hata mimi nawashangaa wana Arusha mmetulia wakati huyo sijui rais wenu yupo locked up
 
Hats kama sis ni mabata na makunguru lakini hebu tupazeni angalau sauti.

Hawa watu wanatuchezea michezo ya lijinga na sisi tunacheza nao
Sasas sauti za mabata na kunguru zinapazwa wapi mkuu?
maana kama wewe hujieshimu hakuna wa kukuheshimu
 
Kweli kabisa hata kama kuna mtu gani, palipo na haki kuna haja ya kuitambua and if something is done kutakuwa na matokeo lazima.
Mfano Mh. Mbowe asingesoma vifungu vya katiba na kutueleza taratibu zake za kuitwa ni nini kingetokea!Na kuna anayejua ni matokeo mazuri kiasi yani yametokana na hatua ya Mbowe kufafanua vifungu vya sheria vya kuitwa kwake polisi japo watu walidhani ni suala la mtu mmoja tu, watu wengi wanaitwa sasa lakini kwa heshima wanayostahili!
Mh. Lema ameteseka sana utafikiri labda anakabiliwa na kesi ya mihadarati au mauaji.
 
Hii kitu inaniuma sana ndo maana nauliza kwanini? Haiwezekani anayetutetea anasota tunaotetewa tuko kimya.. Hats kama sis ni mabata na makunguru lakini hebu tupazeni angalau sauti.

Hawa watu wanatuchezea michezo ya lijinga na sisi tunacheza nao
unafikiri Tutumie njia gani ili kumnusuru lema
 
Unakosea kusema hakuna sababu ya msingi ilihali unaamin kauli ya Kila kitu kinatokea kwa sababu,,,,
 
Nmeshagundua Watanzania ni waongeaji tu lakini hakuna mtendaji!

Vijana wa Arusha walikuwa wanampiga mkwara JK tu sasa hivi wameufyata, *****!
 
Hii kitu inaniuma sana ndo maana nauliza kwanini? Haiwezekani anayetutetea anasota tunaotetewa tuko kimya.. Hats kama sis ni mabata na makunguru lakini hebu tupazeni angalau sauti.

Hawa watu wanatuchezea michezo ya lijinga na sisi tunacheza nao
Wewe umeumia kuliko familia yake?nenda kalale barabarani uchi uoneshe uchungu wako Lema ataachiwa
 
Hii kitu inaniuma sana ndo maana nauliza kwanini? Haiwezekani anayetutetea anasota tunaotetewa tuko kimya.. Hats kama sis ni mabata na makunguru lakini hebu tupazeni angalau sauti.

Hawa watu wanatuchezea michezo ya lijinga na sisi tunacheza nao

Sasa si muandamane makamanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom