Hivi kwanini Ajira katika Taasisi za Serikali huchukua muda mrefu?

made

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
890
581
Nimejaribu kufuatilia kwa makini sana na nimegundua ajira nyingi katika taasisi zetu za serikali huchukua zaidi ya miezi 2 mpaka watu waitwe katika interview au kazi.Tatizo huwa nini hasa kwa sababu mwisho wa siku hawatoi short list wanaita watu wote,.....au wanakuwa wanatangaza wakiwa hawakujipanga kifedha.
Tangazo la kazi linatangazwa July unaitwa December kuanza kazi,mpaka unakuwa umeshasahau kama uliwahi kuomba katika kampuni husika.
Tulijadili hili wana JF.
 
Wanapga smu kwa shemeji zao kwanza ili kuona kama kuna kilaza mmoja anaweza kupewa gemu na ikishndkana huko ndo huwa akina kapuku wanaitwa ...lakn pia bureaucracy inachangia ktk tatzo hili
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini sana na nimegundua ajira nyingi katika taasisi zetu za serikali huchukua zaidi ya miezi 2 mpaka watu waitwe katika interview au kazi.Tatizo huwa nini hasa kwa sababu mwisho wa siku hawatoi short list wanaita watu wote,.....au wanakuwa wanatangaza wakiwa hawakujipanga kifedha.
Tangazo la kazi linatangazwa July unaitwa December kuanza kazi,mpaka unakuwa umeshasahau kama uliwahi kuomba katika kampuni husika.
Tulijadili hili wana JF.
Bajeti kaka/Dada...Taasisi inapotangaza kazi huwa imeweka katika bajeti yake ya mwaka inayoanza kutekelezwa kuanzia July/pia imepata kibali cha kuajiri, lakini si kila inapofika July ya mwaka fedha za utekelezaji huwa zimekwisha tolewa hivyo inabidi wasikilizie kwanza
 
Back
Top Bottom