Hivi kwanini 90% ya waumini wa haya makanisa ya kiroho ni wanawake?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Wadau..nahitaj majibu yenye mashiko..kwann haya makanisa ya mitume na manabii...

Waumini karibia 90% ni wanawake..na hata wale wanaoanguka sana kwa mapepo n such dramas ni wanawake..halaf sasa huwaambii kitu..yaan ukitaka gombana nae ponda hilo kanisa lake au mchungaj wake

Inamana wanawake ni easily manipulated..conned ...

Mtwambie leo ..wanawake mna matatzo gani na haya makanisa..kuna siri gan nyie na haya makanisa

Najua nyuz kama hiz si rafik sanaaa ila
 
Kwa asili wanawake wanaamini kwa kusikia, wakiambiwa maneno ya kuwapa furaha na upendo wanafurahia zaidi. Na viongozi wa dini wamejua kulengea hapo

Wanawake wengi kwenye jamii ni wahanga wa unyanyaswaji na mateso mbalimali na wanaona sehemu pekee ya kupata faraja ni kanisani

Wanawake sio watu wa kuachilia mambo kirahisi Wanawake wanabeba hisia zinazowafanya wafanye Yale yanayotokea kwenye hizo nyumba za ibada

Wanawake kukosa miongozo sahihi ya kiimani toka kwa wanaume ambao ndio viongozi kiimani

Cc Ushimen 😅😅
 
Hiyo ni kawaida na Dunia nzima, wanawake wanajua zaidi jinsi ya kudili na kukabiliana na matatizo kuliko Wanaume, Wanawake wakiwa na matatizo wanaongea na kutafuta suluhisho na ndo maana unaona wanajaa makanisani huko wanaongea na kujdali matatizo yao nakupata suluhisho, wanaume wanajifungia na kuishia kujiua matokeo yake, Wanawake wanaishi huishi muda mrefu zaidi, wanaojiua ni wachache sana kulinganisha na Wanaume, wana-move on haraka baada ya kumwagana kimahusiano, wana afya njema kuliko Wanaume mfano Hospitali zimejaa zaidi Wanawake kuliko Wanaume kwa sababu Wanawake wanajali afya zao zaidi, kwa kifupi wanaishi vizuri kuliko wanaume au niseme wanajua jinsi ya kudili na matatizo na changamoto za kidunia zaidi, ...
 
Wadau..nahitaj majibu yenye mashiko..kwann haya makanisa ya mitume na manabii...

Waumini karibia 90% ni wanawake..na hata wale wanaoanguka sana kwa mapepo n such dramas ni wanawake..halaf sasa huwaambii kitu..yaan ukitaka gombana nae ponda hilo kanisa lake au mchungaj wake

Inamana wanawake ni easily manipulated..conned ...

Mtwambie leo ..wanawake mna matatzo gani na haya makanisa..kuna siri gan nyie na haya makanisa

Najua nyuz kama hiz si rafik sanaaa ila
Ina maana wewe hujui kama wanawake ni wengi zaidi ya wanamme?
 
Kama hali iko hivyo, iweje wao ndiyo wanna ongoza kwa kupigwa na kuwa fursa ya utapeli.

Hapa umeandika uongo usio faa hata kupigiwa mfano. Sababu uhalisia upo dhidi yako.
 
Wadau..nahitaj majibu yenye mashiko..kwann haya makanisa ya mitume na manabii...

Waumini karibia 90% ni wanawake..na hata wale wanaoanguka sana kwa mapepo n such dramas ni wanawake..halaf sasa huwaambii kitu..yaan ukitaka gombana nae ponda hilo kanisa lake au mchungaj wake

Inamana wanawake ni easily manipulated..conned ...

Mtwambie leo ..wanawake mna matatzo gani na haya makanisa..kuna siri gan nyie na haya makanisa

Najua nyuz kama hiz si rafik sanaaa ila
 
Attachments

  • VID-20201218-WA0146.mp4
    1.8 MB
Kama hali iko hivyo, iweje wao ndiyo wanna ongoza kwa kupigwa na kuwa fursa ya utapeli.

Hapa umeandika uongo usio faa hata kupigiwa mfano. Sababu uhalisia upo dhidi yako.

Sema nilichoongopa, je Wanawake hawaishi muda mrefu klk wanaume ? Je, wanaume wanaojiua siyo wengi kulinganisha na Wanawake ? Je, wanaume hawaongozi kuachwa zaidi kwenye mahusiano klk Wanawake ? je, Hospitalini wanawake siyo wengi kulko Wanaume ? sasa ni wapi nilipoongopa ? Je, wanaume hawaoongozi kwa ulevi na drugs klk wanawake ?
 
Hiyo ni kawaida na Dunia nzima, wanawake wanajua zaidi jinsi ya kudili na kukabiliana na matatizo kuliko Wanaume, Wanawake wakiwa na matatizo wanaongea na kutafuta suluhisho na ndo maana unaona wanajaa makanisani huko wanaongea na kujdali matatizo yao nakupata suluhisho, wanaume wanajifungia na kuishia kujiua matokeo yake, Wanawake wanaishi huishi muda mrefu zaidi, wanaojiua ni wachache sana kulinganisha na Wanaume, wana-move on haraka baada ya kumwagana kimahusiano, wana afya njema kuliko Wanaume mfano Hospitali zimejaa zaidi Wanawake kuliko Wanaume kwa sababu Wanawake wanajali afya zao zaidi, kwa kifupi wanaishi vizuri kuliko wanaume au niseme wanajua jinsi ya kudili na matatizo na changamoto za kidunia zaidi, ...
Sio kwamba mwanamke ni tegemez na si problem solver..yaan hawez solve kitu had kwa msada wa mwingne..tena mwanaume...maana huko makanisan viongoz ni wanaaume..waganga wa kienyej ni wanaume etc...nahis kuna utofaut wa asil kat ya jinsia hz mbili ni kwamba tu wanawake wa skuhiz ku admit ni ngum..

Kiufup mwanamke hafikirii mara mbili..yeye anachokiona mbele ni hiko hiko..ndomana wana maamuz meng sana wanawake. Wao ndo machangudoa.wao ndo wanaojichubua wao ndo wenye nywele fake wao ndo wenye kucha fake wao ndo wapaka makeup yaan lolote liliombele yao wanarukia bila kuwaza mara mbili.

Mwanaume lazima awaze mara mbili ndomana amekua soo natural katka maamuz yake maishan
 
Haijalishi lkn angalau inawasaidia kutatua matatizo na ku-move on na maisha wakati Wanaume wanaishia bar ulevi, drugs au kujiua kabisa, ...
 
Sio kwamba mwanamke ni tegemez na si problem solver..yaan hawez solve kitu had kwa msada wa mwingne..tena mwanaume...maana huko makanisan viongoz ni wanaaume..waganga wa kienyej ni wanaume etc...nahis kuna utofaut wa asil kat ya jinsia hz mbili ni kwamba tu wanawake wa skuhiz ku admit ni ngum..

Kiufup mwanamke hafikirii mara mbili..yeye anachokiona mbele ni hiko hiko..ndomana wana maamuz meng sana wanawake. Wao ndo machangudoa.wao ndo wanaojichubua wao ndo wenye nywele fake wao ndo wenye kucha fake wao ndo wapaka makeup yaan lolote liliombele yao wanarukia bila kuwaza mara mbili.

Mwanaume lazima awaze mara mbili ndomana amekua soo natural katka maamuz yake maishan
Mngewaza kweli Mara mbili msingekula tunda..... Samsoni asingenyoa nywele.

Tunawazoom hapa mnavyojaribu kutufanya hatuna akili.
 
Sema nilichoongopa, je Wanawake hawaishi muda mrefu klk wanaume ? Je, wanaume wanaojiua siyo wengi kulinganisha na Wanawake ? Je, wanaume hawaongozi kuachwa zaidi kwenye mahusiano klk Wanawake ? je, Hospitalini wanawake siyo wengi kulko Wanaume ? sasa ni wapi nilipoongopa ? Je wanaongoza kwa ulevi kati ya wanawake na wanaume wapi wengi ?
Rejea ulichokiandika na nilichokiandika kisha rejea mada husika.

Tunaongelea kuhusu urahisi wa kushawishiwa, ila si kama ulivyo andika hapo juu.
 
Back
Top Bottom