Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,309
- Thread starter
- #21
Mkuu, The Boss! ingekuwa vizuri kama ili swali lako ungepeleka jukwaa la lugha nadhani ndio mahali pake, wote tumefundishawa hivyo somo la Jiografia toka darasa la tatu, ningeomba mchango wako kwenye hii trhead The Boss!Hivi hili neno nyanda za juu maana yake ni ni hasa?????Nynda ni nini??????Kuna nyanda za chini???????zipi hizo??????????