Hivi kwa nini watu wa nyanda za juu kusini/ kaskazini wanapenda sana kula Nguruwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini watu wa nyanda za juu kusini/ kaskazini wanapenda sana kula Nguruwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Jul 2, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wana JF,
  Nimefanya utafiti nikishirikiana na jamaa zangu kutoka ulaya Shirika la Mpango wa Chakula duniani (WFP) tumegundua hapa Tanzania hizi sehemu za nyanda za juu Kusini/Kaskazini, wakazi wake wengi wanapenda kula sana nyama ya Nguruwe.
  Shehemu hizo kuwa upande wa Iringa, ni Makete, Njombe, Njombe, Kilolo.
  Ruvuma, Mbinga, Namtumbo, Tunduru.
  Rukwa, Nkasi, Mpanda.
  Kilimanjaro, Rombo, Kibosho, Hai, Kishumundu.
  Arusha, Karatu, Monduli, Longido.
  Wadau, kwa nini watu hayo maeneo wanapenda hii nyama mwenye kufahamu naomba anijuze. Nawakilisha
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sijui kwenye hizo sehemu nguruwe wa wapi ni watamu! Ngoja watakuja wenyewe kukujibu
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mbeya umeiweka wapi hadi unapishana nao kama kuku wa kienyeji mitaani! Morogoro ifakara balaaa kwa mbuzi katoliki
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,184
  Trophy Points: 280
  Baridi mzee, ngurubhe zina mafuta, na baridi zina kingwa na mafuta na kadansana.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Mbeya ni nyanda za juu kusini, na huku wapi wengi sana pia
   
 6. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Endelea na utafiti wako kwenda Tanga,Zanzibar,Bagamoyo,Mafia, Lindi na Mtwara na hata kule Mwanza ,Musoma, Kigoma na uwaulize kwa nini wanapenda kula samaki.
  Pengine utaishia na Phd
   
 7. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siri ni moja tu,nyama ya kitimoto maeneo ya huko ni bei rahisi sana.
   
 8. T

  Twasila JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Mkuu wa meza. Hujui hili. Watakucheka watu.
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kitimoto inaliwa c nyanda za juu kusini/kaskazini tu. ni karibia tanzania nzima sasa. tafiti kwa makini sana mikoa ya ukanda wa pwani mpaka unguja, inaliwa na inakubalika sana. siri yake wanajua walaji huenda inatofautina from place to place. lkn ni nyama nzuri sana kwa ustawi wa afya. karibu ndugu yangu!!!!!!!!!
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kwenye ilo sina uhakika, unaweza kutubandikia bei yake hapa Jamvini kwa kilo moja bei gani ili tupate kujua
   
 11. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni mikoa yenye kufuga kwa wingi wanyama hao kwa vile sehemu hizo zina vyakula tele kwa wanyama hao ambao wanasifika kwa ulaji usio na kikomo. Kwenye shida ya vyakula ni ngumu kuwafuga nguruwe.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wakati tunafika Mbeya tukakuta kuna msiba mkubwa wa Nguruwe zaidi ya 700, wamekufa maeneo ya Ifwenkenya ambapo zaidi ya Nguruwe 208 wamekufa, Ifumba wamekufa Nguruwe 7, Kanga wamekufa Nguruwe 231, Garula wamekufa Nguruwe 92, Magamba wamekufa Nguruwe 132, Mbuyuni wamekufa Nguruwe 75,
  Watu walikuwa na msiba mkubwa sana
   
 13. u

  ureni JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hizo sehemu zote ulizotaja zinawingi mkubwa wa wakristo ambao nguruwe sio haramu kwao hiyo ndio sababu
   
 14. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapa siwezi kuumiza kichwa changu.Maana hayo maeneo yaliotajwa ndipo wale jamaa walipita wakieneza hili neno soma Mwanzo 9:1-3Wala msiendelee kuisifia sana.
   
 15. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unatafiti maeneo tu bila kutafuta sababu???
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wadau hivi kichwa cha Nguruwe huwa kinaliwa?
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tehe tehe mkuu wa meza bana si mchezo! kule ungoni ni km mbuzi karibu kila house wanafuga hii kitu kasoro kule kwa kina GAWAZA mitaa ya luhila lkn mitaa ya matogoro, makambi mateka kimolo mahenge bombambili jeshini pale chandamali pale ffu SEED FARM kote huko ukipita unapishana na mfugo tu!!! namkumbuka my late bro, nikiwa std 4 tulikuwa kitaani sasa nikaona bango la matangazo yule aliyeandika lile bango kaweka signature yake kwenye kona ya bango kaandika by artist Nguruwe, nikamuuliza bro hivi artist maana yake ni nini? akaniambia maana yake ni MWAHAHARAM! niko std 4 nikaamini siku tuko class kipindi ni english si nikaona leo nna msamiati mpyaa artist si mwanaharamu ilikuwa ni kutunga sentensi kutumia neno an baada ya juhudi kuuubwa ya kunyosha kidole mwl akanichagua weeeeee nikatia PIG IS AN ARTIST mwl akashtuka eeeeeeenh rudia tena kwa madaha nikarudia PIG IS AN ARTIST mwl kimyaa akaniambia sema kwa kiswahili labda ntakuelewa una maanisha nini si nikesema nguruwe ni mwanaharam daaaaaaah mwl alicheeeka mbaya alipotafsiri kwa darasa nikapewa na jina la artist nguruwe. hahaaaa home niliporudi kumpa story bro hakuwa na hamuuu alikufa kucheka na home nako sasa mdudu tukawa tunaiita artist! haha my bro alikuwa very charming wote tulimpenda lkn mungu alimpenda zaidi. so wadau mmenikumbusha mbaliii saaana.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ukiona Bata anaharisha usifikiri ni mgonjwa, ndo utaratibu wake!!!
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hivi hili neno nyanda za juu maana yake ni ni hasa?????
  Nynda ni nini??????
  Kuna nyanda za chini???????zipi hizo??????????
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, nauliza hivi kichwa cha Nguruwe na Miguu yake vinaliwa?
   
Loading...