Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kutongoza madem; lakini kila dem baada ya muda ukimwita Shem anaruka maili mia kuwa yeye siyo shem wangu! Ukimdadisi anakwambia jamaa alimshikashika tu na kumchezea basi,
Swali langu ni je! kwa nini wasioweza huwa wanapenda kujionesha kuwa wanaweza kumbe hamna?
Swali langu ni je! kwa nini wasioweza huwa wanapenda kujionesha kuwa wanaweza kumbe hamna?