Hivi kwa nini wasioweza hupenda kujifanya wanaweza????

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,030
2,000
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kutongoza madem; lakini kila dem baada ya muda ukimwita Shem anaruka maili mia kuwa yeye siyo shem wangu! Ukimdadisi anakwambia jamaa alimshikashika tu na kumchezea basi,
Swali langu ni je! kwa nini wasioweza huwa wanapenda kujionesha kuwa wanaweza kumbe hamna?
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,030
2,000
tunatumia nguvu nyingi kuprove kwa nje kuwa hatuna mapungufu tulio nayo.

Mtu ambaye yuko aggresive sana kwa nje, ndani ni mwoga sana na ni dhaifu sana.

Mtu ambaye yuko humble mara nyingi ni strong sana inside!

nimekupata kwa uzuri, ila suala nangu ni kwamba yanini upoteze muda na fedha kuagiza chakula ambacho huwezi kukila?
 
Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,905
2,000
Ndo inavyotakiwa kwa wanawake wanaojifanya wazuri unawachezea unapotezea.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,904
2,000
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kutongoza madem; lakini kila dem baada ya muda ukimwita Shem anaruka maili mia kuwa yeye siyo shem wangu! Ukimdadisi anakwambia jamaa alimshikashika tu na kumchezea basi,
Swali langu ni je! kwa nini wasioweza huwa wanapenda kujionesha kuwa wanaweza kumbe hamna?

ah hao mademu nao wazushi...kama hawawezi sii umuonyeshe jamaa
pia ukumbuke wengine sex ni selfish act anawaza kumwaga yeye tuu
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,744
2,000
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kutongoza madem; lakini kila dem baada ya muda ukimwita Shem anaruka maili mia kuwa yeye siyo shem wangu! Ukimdadisi anakwambia jamaa alimshikashika tu na kumchezea basi,
Swali langu ni je! kwa nini wasioweza huwa wanapenda kujionesha kuwa wanaweza kumbe hamna?

kwa kuwa hao ni mademu ndio maana wanakataa kuitwa hivyo unataka kuita....ila ingekuwa ni mke sidhani kama kungekuwa na hiyo kadhia...
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,030
2,000
kwa kuwa hao ni mademu ndio maana wanakataa kuitwa hivyo unataka kuita....ila ingekuwa ni mke sidhani kama kungekuwa na hiyo kadhia...

sI KWA MADEM 2; MKE WA KWANZA ALISHATEMBEA KISA NI HICHO; TUKAHISI KUWA LABDA ANAMSINGIZIA, AKAOA WA PILI TENA KWA HARUSI KUBWA! NAYE HADI NINAPOANDIKA HAYA HAWAISHI WOTE NA KIBAYA SHEM AMEKATA MAWASILIANO NA MARAFIKI WOTE WA HUYO MSHKAJI NA HATA WAKE ZETU HAWANA MAWASILIANO NA HUYO DADA!

MSHKAJI YEYE ANAPENDA SANA TUNGI NA KUKAA NA KAMPANI YA MADEM HATA WAWILI / WATATU
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
nimekupata kwa uzuri, ila suala nangu ni kwamba yanini upoteze muda na fedha kuagiza chakula ambacho huwezi kukila?

Yote hiyo ni kwa ajili ya kuonekana UNAWEZA, ndipo utakapojua nguvu ya kukubalika au kutambulika kwenye society. Mtu unaishi kwa kufuata expectation za society na sio zako mwenyewe!
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,469
2,000
Hufanya hivyo ili kuonekana level za juu angali hawana lolote,
hasa pale wafikapo panapo kitanda hujikuta wameshapigwa bao la kisigino.
Mtu kutaka umaarufu wakati hawezi kitu ni ujinga mtupu.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,904
2,000
fafanua hapo sijakupata

mwanaume anaweza taka kugegeda na kumwaga tuu bila kujali kama demu anafurahi tendo.
lakini pia wanawake wanakuwa waoga sana kum guide jamaa mpaka afanye vile apendavyo...tatizo dada zetu wanalepetaga sana mpaka wanashindwa kunena
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,030
2,000
mwanaume anaweza taka kugegeda na kumwaga tuu bila kujali kama demu anafurahi tendo.
Lakini pia wanawake wanakuwa waoga sana kum guide jamaa mpaka afanye vile apendavyo...tatizo dada zetu wanalepetaga sana mpaka wanashindwa kunena

yeye anapenda kuwashika shika tu! Siku hizi tumeanza kumkimbia, akipiga sm unamwambia - endelea mi niko bussy. Wapo baadhi ya madem wameanza kumtangaza na kumtukana adharani kuwa hawezi lolote.

Kesi ya kugegeda kwa muda mfupi na kumaliza hiyo ni kesi nyingine mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom