Hivi kwa nini wasichana wengi wanajifanya macelebrity far | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini wasichana wengi wanajifanya macelebrity far

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Natalia, Oct 2, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Sielewi kama mtu huna talent yoyote lakini anataka too much attention .i wonder why
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Natalia duh! kweli ur back, nikikumbuka mada zako za long hadi ukafurushwa humu ndani, ila usiseme hivo bana, sema baadhi ya wasichana coz tuko wenye talent, elimu, kazi etc ze2 but hatutaki huo umaarufu kunuka wa kibongobongo wala attention zisizo na msingi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...