Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
Habarini Wakuu
Katika kupitapita huku na kule nimekuwa najiuliza hili swali kwa nini katika vilabu vya pombe na kumbi mbalimbali za starehe kuna idadi kubwa ya wanaume, kwa nini wanaume ndio walevi sana kuliko wanawake.
.
Kwa nini wanaume ndio walevi zaidi kuliko Wanawake....??
.....
 
Kwa tamaduni zetu mpaka miaka ya karibuni au hata leo wanaume ndio wenye vyanzo vya mapato au ndio watunza pesa za familia hivyo kuwapa nafasi ya kuwa na pesa ya kutumia bila kuhojiwa.
 
Ukifikiria jinsi ya kuendesha familia inayokusubiri nyumbani, ni bora upitie kilabuni tu upunguze mawazo kidogo hah hah
 
Mkuu mi nahisi wanawake hawana pesa ukilinganisha na wanaume.Pia wanaume wana uhuru wa kuwa maeneo hayo kuliko wanawake.Pia kwa mila zetu wanawake wakionewa maeneo hayo huchukuliwa sio.Asante
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom