Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kutoka na wanaume wanaofanya kazi bank? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kutoka na wanaume wanaofanya kazi bank?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Jun 27, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ni kwa kudhani hao wanaume wanamiliki pesa zote zilizoko mle bank au ni kitu gani kingine?maana me nijuavyo wafanyakazi wa bank wanalipwa pesa ya kawaida tu.ebu wanawake fungukeni kwa sababu hapa mtaani kwetu kuna jamaa anapiga mzigo Nbc,anawagongaje!!
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmh we kwakuwa umewaona hao basi wanawake wooooooooooooooooote tunapenda watu wanaofanya kazi benki........ We sasa mbona wanawake wa hapa wanapenda wanajeshi na polisi na walinzi kwa hiyo na mimi niseme wanawake wooooote wanapenda ASKARI?
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama huu utafiti wako una ukweli.
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Utafiti wako una walakini, labda wadada wa vyuo maana hawako exposed, ila wanawake walioko mzigoni wanajua ukweli kuwa benk mishahara laki 6, na hakuna safari upate per diem, overtime wala magumashi yoyote na kazi ngumu unabanwa hadi wekend so huwez kufanya business uongeze kipato. So wakiwa na mtu wa bank ni kwa upendo binafsi sio kwa pesa as bank hakuna hela.

  Wadada wa mjini wanacheza na watu wa kwenye miradi, bandarini, migodini, tra, shipping lines, engineers, nssf, tanesco, telecom companies na kwingineko as wakipiga mzinga wa milion wanajibiwa bila longo longo... So usifananishe wadada wa college na wanawake watu wazima, kwanza hao wadada wenyewe wengi wao wanafanya banks as tellers and bank officers so watatoka vipi na bankers wenzao wakati wanajua hali halisi.
   
 5. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ukwelu upo na tuache kujisahaulisha hapa....namna gani pale
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Haya ndo yale mambo ya unasubmit research report ukiangalia sample space watu wa5, hivi ratio ya 5 kwa idadi ya wanawake wote duniani(bil. 4 approx. ). What is 5/4,000,000,00?
  Halafu research ukipewa F unalalamika!
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  mkata kiu,maza anaendeleaje?
   
 8. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  She is okay wangu, atleast jamii forums inanifariji na kuniweka busy maana huku wahindi wanazingua tu.
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nipm badae nikupe vocha....
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  naogopa hata kusema ....
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  sio bank zote zipo hivyo! nilikuwa a certain bank, kabla ya kuhamia nilipo, na kulikuwa na everything perdiems, over time na posho, na mshahara mzuri tu especialy kama upo head office na c branch! kama ni branch ndio mnafanya mpaka weekend na inategemea na branch gani? na hiyo jpili mnalipwa! ni hilo tu!
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi huwa nawapenda wa Foreign Affairs hao wa NBC sijawafanyia research
   
 13. N

  Neylu JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Naomba tuu ukarudie huo utafiti wako upya.. Am sure utakuja na matokeo fofauti kabisaaa...
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  anawapata kwa kuwatongoza, kajifunze kutongoza
   
 15. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  labda wanawake hao uliowaona ndio wanapenda wanaume wa benki, mie huku wengi wao naona wanawapenda wavuvi
   
 16. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi tuna benk ngapi Tanzania? Halafu kuna wanaume wangapi wanafanya kazi bank? Hivi na wanawake Tanzania wapo wangapi? Wote hao wanawapenda wa bank?
   
 17. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mimi huku kwetu wanapenda wanaojua kulima sana!!!
   
 18. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mwenzangu rudi tena ukakamilishe report,na hao wanawake anao chukua huyo jamaa pia watakua wale wachochole kama huyo jirani yako, kwa pesa gani au ni hiyo harufu ya pesa mpya anayo nusa kila siku?
   
 19. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  ...humu kila m2 akijisikia kuponda, ataponda sana na kujifanya ajuae yeye ndo sahihi!...lakin topic ina ukweli, yatupasa tuangalie saikolojia ya mapenzi na watu kijumla...saikolojia 1: wafanyakaz wengi wa bank wako smart full time, hii ni attractive force.
   
 20. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  2..kiakili tu utasema yule mtu anafanya kazi BANK, hilo neno bank utalidhalau lakini lina impact kubwa ktk saikolojia ya mapenzi vs uchumi....yafaa tujue si wote tulo elemika na kujua mishahara & malupulupu ya bank, .
   
Loading...