Hivi kwa nini ukimtumia msichana sms kama ni mara ya kwanza alafu msg iingie kwenye simu yako roho inapasuka sana

Yaani mara ya kwanza kumtumia demu msg ya kumtaka kimahusiano basi kama dakika 3 hivi msg ikaingia kwenye simu yangu basi kwa ule mshtuko niliopata sikuifungua muda huo kwanza niliendelea kufanya kazi zangu huku kijasho kinanitoka hapo nawazia jibu lipi limerudishwa nikamaliza kazi yangu nikaoga.

Basi nikaenda sehemu nikaagiza kinywaji ile naanza kunywa nikatoa simu mfukoni nisome jibu la msg yangu nakuta simu imezima chaji.

Hivi kuna mahusiano gani ya msg na mshtuko wa mapigo ya moyo kuongezeka?
Dogo. Matokeo yameshatoka. Umefaulu lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mara ya kwanza kumtumia demu msg ya kumtaka kimahusiano basi kama dakika 3 hivi msg ikaingia kwenye simu yangu basi kwa ule mshtuko niliopata sikuifungua muda huo kwanza niliendelea kufanya kazi zangu huku kijasho kinanitoka hapo nawazia jibu lipi limerudishwa nikamaliza kazi yangu nikaoga.

Basi nikaenda sehemu nikaagiza kinywaji ile naanza kunywa nikatoa simu mfukoni nisome jibu la msg yangu nakuta simu imezima chaji.

Hivi kuna mahusiano gani ya msg na mshtuko wa mapigo ya moyo kuongezeka?
Hizi ni sababu za kimakenika, yaani moyo umeshikiliwa na mountain kama ilivyo engine ya gari na mwanamke ni kama clutch unit sasa unapotuma signal ya mapenzi inakuwa kama umekanyaga clutch sasa kale kamlio ka tweet tweet kanapoingia unaachia Clutch kwa haraka ndo maana moyo unafanya paaaaah ila ukishamzoea unaweza hata kuingiza gia bila kukanyaga clutch!
 
Yaani mara ya kwanza kumtumia demu msg ya kumtaka kimahusiano basi kama dakika 3 hivi msg ikaingia kwenye simu yangu basi kwa ule mshtuko niliopata sikuifungua muda huo kwanza niliendelea kufanya kazi zangu huku kijasho kinanitoka hapo nawazia jibu lipi limerudishwa nikamaliza kazi yangu nikaoga.

Basi nikaenda sehemu nikaagiza kinywaji ile naanza kunywa nikatoa simu mfukoni nisome jibu la msg yangu nakuta simu imezima chaji.

Hivi kuna mahusiano gani ya msg na mshtuko wa mapigo ya moyo kuongezeka?

Aaaaaaah nkajua labda unakutana na Meseji ya Vodacom au Nida wanakukumbusha usajili laini bana!
 
Back
Top Bottom