Imam Yussuf Shamsi
Member
- Jun 8, 2012
- 77
- 4
Hivi katika hiyo boti hakuna mtanganyika hata mmoja aliekufa, Bona hapo bandarini Dar tunasikia na kuona vilio vyenye lafudhi ya Kitanganyika? Inasemekana 85% ya watu waliokufa ni watanganyika.
Hivi katika hiyo boti hakuna mtanganyika hata mmoja aliekufa, Bona hapo bandarini Dar tunasikia na kuona vilio vyenye lafudhi ya Kitanganyika? Inasemekana 85% ya watu waliokufa ni watanganyika.
Kama hii ni adhabu ya wachoma makanisa, basi na wakristo wenyewe wamo maana na wao wamekufa. Na kibaya zaidi kwa wakristo hao sasa watazikwa kiislam
Usitutusi tafadhali.... Zanzibar ni nchi....ina rais wake, ina bendera na ina wimbo wa taifa na ina TV na REDIO yake......mie naona ni sawa tu na tunavyoshirikiana na uganda na Kenya.....Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u
Kwani znz si nchi ina maana hawana vikosi vya uwokoaji
Tanganyika tunavyo
muungano hamtaki majanga yakiwapata mnatukumbuka
lakini hujui kuwa muanzisha post ameonesha uzanzibari zaidi as if kila anyeingia na kutoka zanzibar ni mzazibari tu!, amesahau udhaifu wa vyombo vya habari vya afrka bali anaweka mbele uzanzibari!, na wazanzibari wote wanaomuunga mkono wana mawazo finyu kama mkia wa nguruwe................................
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u
Hivi kweli Tz Bara imetengeneza siku za maombolezo kutokana na maafa yaliyotokana na ajali hiyo?