Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
Nilikuwa Mexico lakini wakati wa kwenda na kurudi transit ilikuwa Usa,tulitua pale Washington dc tukakaa kwa muda mrefu wakati tunasubiri ku-connect ndege ya Mexico,tulikata sana mitaa yaani ni hivi Mtanzania au raia yeyote kutoka Africa akiwa pale utamjua huyu siyo mmarekani,,yaani tulitembea halafu nikaona watu wanauza fulani kama hapa bongo halafu nikasogelea karibu kidogo.
Kwa bahati mbaya mimi japo naishi africa lakini ukiniangalia unaweza fikiri mimi ni kulekule,niliposogelea nikasikia jamaa wanaongea kiswahili yaani,,dahh!mambo sio mambo wakuu,ilibidi nijitambulishe kuwa mimi ni mtanzania mpaka waliponiuliza ni mtanzania wa wapi ndio waliamini, walifikiri mimi natoka palepale.
Sasa kilichonishangaza yaani sura zetu hazifanani kabisa na wale wamarekani weusi,yaani sura zao tofauti kwanza wamechangamka, halafu ngozi yao haijababuka kabisa, ni hivi ukikutana na mbongo hata kama humjui utajua huyu ni mbongo, kwa nini basi tusifanane na wale wenzetu wajamani!