Hivi kwa nini siku hizi nyumba nyingi kina mama ndio wenye sauti kuzidi kina baba?

Ukiona mwanaume anagombania madaraka ya mkewe basi ujue ndo wale wanakula house maids zao, yani hous gl wa jirani aje kukuomba ufagio na chumvi wewe hee baba gani wewe. Na mama ndo nguzo ya familia, kwanza nimama wa watoto wako pia kashika jukumu la mama yako la kukulea wewe, kwa hiyo wewe na watoto wako wote mko mikononi mwake japo kua wewe ni kichwa cha familia. Na lazima umshirikishe mama kwenye maamuzi kwani siku zote mke hua anatoa maamuzi yenye manufaa zaidi ya baba, na ndio maana ikitokea bahati mbaya mke asiwe mwema, basi ujue familia nzima inaweza kuyumba sana mpaka kusambaa kabisa.
 
CAMARADERIE.
Nyumbani kwako kukoje?

Nyumb nayo inahitaji kuwa na katiba kama nchi............nyumba nyingi hazina katiba au kama ipo ni page mbili tu....katiba yangu kama ya nchi kwa hiyo hakuna masikhara....weka appointment uje utembee mkuu ujionee
 
Isije kuwa Katiba ya nyumbani kwako kama ya Tanzania inakanyagwa hovyo tu..inaitaji marekebisho kibao
 
Hapana ilitungwa kwa ushiriki wa wote baba,mama na watoto....wageni wakija wanasomewa riot act......mambo yanaenda vizuri kipengele muhimu.......'' Baba kamwe asionekana kuwa amechelewa kurudi nyumbani,muda wowote atakao rudi atakuwa amewahi hata kama ni asubuhi''
 
wanaume mmewekwa chini, mama kawa juu,
naona mmelishwa limbwata na limewakolea,
mmbaki kujichekeshachekesha tu,
hata yule mtoto wa mbagala amekomaa kuliko wanaume wengi.
 
Hapana ilitungwa kwa ushiriki wa wote baba,mama na watoto....wageni wakija wanasomewa riot act......mambo yanaenda vizuri kipengele muhimu.......'' Baba kamwe asionekana kuwa amechelewa kurudi nyumbani,muda wowote atakao rudi atakuwa amewahi hata kama ni asubuhi''

Vipi kipengele cha wa watoto, mtoto wa kike anaruhisiwa kuleta rafiki yake wa kiume nyumbani kwako?

Katika haki zake za msingi za Katiba inavyomlinda akirudi usiku kutoka club unamfungulia mlango, kulinda Katiba ya nyumbani
 
Almradi awe amevuka miaka 21 anaweza kwenda out at will........kuleta kijana ni mpaka atakapokuwa tayari kuolewa........wakiume marufuku kula house girl
 
Mkuu, Katiba yako mbona ya kibaguzi sana inaitaji marekebisho makubwa..

Mtoto wa kiume haki zake za msingi zimeminywa kwa makusudi..
 
Wewe katiba yako iko wapi kabla hujamtuhumu mwenziyo

Mkuu, Katiba yangu ipo wazi sana mimi nafanya kazi binafsi na wife wangu nimemfungulia mradi wake..

Nyumbani mke ana majukumu yake kama mke, lakini maamuzi makubwa ya kiutendaji na yafanya mimi kama kichwa cha familia..

Mkuu, wewe katiba yako ikoje?
 
Wanaume wengi wamewekwa ndani tu kwa ajili ya kuwaridhisha kimwili, lakini wanawake ndio wanaomiliki fedha, magari , nyumba n.k hapo unategemea sauti itatoka wapi?
 
Kama ndiyo hivi ni kweli lazima wanawake ndiyo wawe na sauti huko kwenye nyumba, huku wanaume wakibaki kung'aa sharubu tu..

Hapo lazima utakuwa baba wa nyumbani tu
 
Kuna jamaa yangu mmoja wife wake kampiga marufuku kutembea hovyo baada ya kazi..

Ukipita nyumbani kwake jioni jamaa kakaa nje na watoto wife hayupo..

Nilichokigundua hapa ni kwamba wewe ni mbea, mchonganishi na hupendi kuona watu wanaelewana katika ndoa zao. Pia nina wasiwasi huyo jamaa alikuwa anakutwanga ofa za bia wakati yupo free....sasa kitendo cha kupigwa marufuku na wife wake kutoka kimekuathiri na wewe, pole sana kama sio kweli!
 
Dada yangu utakuwa unakaa Tandale kwa Tumbo sio bure..

Great Thinkers hatuna watu wa namna yako..lol..hapa tunajadili kwa upendo na amani, nilichogundua JF hapakufahi rudi FB...lol
 
Ni wapi wanapokaa Great thinkers? Wahenga walisema, "Ukweli unauma"
 
Sawa Dada yangu nakubaliana na wewe yote uliosema, sisi wengine JF ni Furaha tupu..kama thread yangu imekukwaza nisamehe dada yangu sirudii tena
 
Back
Top Bottom