Hivi kwa nini Raisi JK hakujitokeza wazi katika matukio yote ya kumkumbuka baba wa taifa?

salisalum

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
418
136
Ndg wana JF,

Nilikuwa nikifuatilia sana kujihusisha kwa JK kwenye kumbukumbu ya JKBN, nime-note kwamba jamaa alikuwa low profile all the time. Hata kwenye kuwasha mwenge kule Butiama hakwenda. JKBN alithamini sana mwenge alikuwa mara nyingi akiuwasha na kuuzima pale mwisho. Nilitegemea walau hapa angejihusisha.

JK huwa hampendi JKBN, basi anajificha kwenye kivuli chake tu ili afaninikishe mambo yake ya siasa. Aliwahi kusikika mahali akisema ..''haka kazee na kenyewe kalifanya makosa mengi tu, lakini sisi ndio tunasemwa na kulaumiwa kila wakati''. Ikadhihirisha kuwa JK huwa ana bifu sana na JKBN, sijui asili yake ni wapi. Kikumsaidia JKBN alimsaidia sana JK, aliwachukua pale Mlimani na baba yangu akawapeleka Monduli na kadhalika na kadhalika hadi Mwinyi alipokuja kumuona.

JK kwa nini anamchukia hata mtu asiyekuwapo duniani?
 
Huyu jamaa ni mdini no1,hufanya hivi kuridhisha kikundi fulani ambacho hudai kuwa utawala wa Nyerere umekandamiza na kunyima fursa za maendeeo ya dini yao ingawa imeleta uhuru,
 
Ndg wana JF,

Nilikuwa nikifuatilia sana kujihusisha kwa JK kwenye kumbukumbu ya JKBN, nime-note kwamba jamaa alikuwa low profile all the time. Hata kwenye kuwasha mwenge kule Butiama hakwenda. JKBN alithamini sana mwenge alikuwa mara nyingi akiuwasha na kuuzima pale mwisho. Nilitegemea walau hapa angejihusisha.

JK huwa hampendi JKBN, basi anajificha kwenye kivuli chake tu ili afaninikishe mambo yake ya siasa. Aliwahi kusikika mahali akisema ..''haka kazee na kenyewe kalifanya makosa mengi tu, lakini sisi ndio tunasemwa na kulaumiwa kila wakati''. Ikadhihirisha kuwa JK huwa ana bifu sana na JKBN, sijui asili yake ni wapi. Kikumsaidia JKBN alimsaidia sana JK, aliwachukua pale Mlimani na baba yangu akawapeleka Monduli na kadhalika na kadhalika hadi Mwinyi alipokuja kumuona.

JK kwa nini anamchukia hata mtu asiyekuwapo duniani?

Mwalimu aliwai mwambia akili zake ni ndogo hafai kuwa raisi mwaka 1995 nadhani bado ana hasira,maana jamaa kwa visasi ni noma...
 
Jakaya Mrisho Kikwete hafanani hata kidogo kimawazo, kimatendo na Mwalimu Nyerere. Unategemea aseme nini wakati mwalimu aliwahi kumwita muhuni hadharani? Kama alikesha akiomba Mwalimu afe ili nyota yake kisiasa ifufuke bado unataka amkumbuke vipi?
 
Back
Top Bottom