Hivi kwanini Korodani zinawasha na kunuka?

We zioshe utakavyoziosha, zipigie perfume uwezavyo but still lazima kaharufu katoke..
#Wataalamu njooni mnipe Darasa
Hazinuki bana Mkuu, wewe una tatizo lako, kunuka Pumbu ni uchafu, fanya yafuatayo.

1.Oga kila siku (lakini hata usipooga siku tatu pumbu hazinuki bana)
2.Tumia taulo (lifuliwe angalau kila week)
3.Vaa nguo safi (boxer isivaliwe zaidi ya siku mbili na nunua boxer mpya kila baada ya muda mfano miezi 4)
4.Mnyoe askari wako na mazingira yanayozunguka huko
 
1. Imarisha usafi
2. Fanya unyoaji mara kwa mara
3. Tibu fungus zote
4. Badilisha nguo za ndani daily.
5. Eneo libaki likiwa kavu Muda wote
Hakutakuwa na harufu zenye kukera.
Kabisa, jamaa ni either ana fungus au ni mchafu, sijawahi kusikia hizo sehemu zinanuka
 
Kila sehemu ina harufu yake tu. Mwili kama unafanya kazi yake vizuri hizo harufu hazikosi...maana ndio njia ya mwili pia kujisafisha. Na kwa maoni yangu harufu zote ....hakuna iliyo nzuri.

Jisafi tu mara kwa mara, lakini huwezi ziondoa hizo harufu kabisa....labda uweke perfume ambay kimsingi haiondoi harufu bali inaweka harufu nyingine kali na kufanya ile harufu ya mwili "isisikike".
 
Back
Top Bottom