Hivi kwa nini mwema/rpc arusha/ shamsi vuai nahodha wasihstakiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini mwema/rpc arusha/ shamsi vuai nahodha wasihstakiwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Jan 6, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kutokana vifo vilivyotokea huko arusha nafikiri ingekuwa ni busara hao wote watajwa hapo juu wangejiuzuru nyadhifa zao halafu wakachukuliwa hatua za kisheria kutokana na kumwaga damu za watu wasio na hatia

  labda kwa sababu mi sheria sizijui

  nawasilisha
   
Loading...