Hivi kwa nini mtu mzima akiua paka maisha yake yanakuwa mabovu sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,393
Eti wandugu eti kwa nini paka akiuliwa na mtu mzima huyo mtu maisha yake yanaharibika na kuwa mabovu sana?


Maana inashauriwa kama kuna paka inabidi auliwe itabidi aitwe mtoto ambaye hajabalehe bado hasa wale watoto wa miaka 13 na inashauriwa zaidi huyo mtoto awe bado hajaingia jandoni.
 
Nilishaua paka zaidi ya watatu, wawili zikuishia tu kuwaua, niliwachoma moto kabisa kushuhudia hawazinduki tena.

Mmoja alikula kifaranga cha kuku wangu mbele ya macho yangu. Niliacha cjakula mezani hadi zoezi la kumuua na kumchoma moto lilipokamilika.

Sina uhakika sana na hii maelezp yako kuhusu ubovu wa maisha.
 
Back
Top Bottom