Hivi kwa nini mradi mkubwa wa kutumia hela nyingi ukitamkwa wanasema "dolar za kimarekani"

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani kwa mfano mradi au kitu kikubwa kikinunuliwa na nchi fulani hela yake hata kama wametoa ya nchi husika lakini itatamkwa kwa mfano " mradi huu wa ujenzi wa barabara ya juu umegharimu dolar za kimarekani sh,labda bilioni fulani" hata kama hiyo nchi imetoa hela yake yenyewe lakini hii hela inatamkwa hela ya nchi nyingine .

Hata kama dolar ni hela za marekani ndio lakini kwa nini kila kitu kikinunulowa kwa hela nyingi kinahusishwa na hii dolar ya kimarekani?naomba kujuzwa
 
Ni ulimbukeni tu kama yule aliyesema hela za nchi yake ni hela za madafu
 
Mara nyingi miradi mikubwa wanaingia na makampuni ya kutoka duniani huko, pesa inayotambulika huko duniani ni dolarri..

Kama masihara vile ila jibu lako limo humo humo.
 
Yaani kwa mfano mradi au kitu kikubwa kikinunuliwa na nchi fulani hela yake hata kama wametoa ya nchi husika lakini itatamkwa kwa mfano " mradi huu wa ujenzi wa barabara ya juu umegharimu dolar za kimarekani sh,labda bilioni fulani" hata kama hiyo nchi imetoa hela yake yenyewe lakini hii hela inatamkwa hela ya nchi nyingine .

Hata kama dolar ni hela za marekani ndio lakini kwa nini kila kitu kikinunulowa kwa hela nyingi kinahusishwa na hii dolar ya kimarekani?naomba kujuzwa
Ndio standard ya dunia hiyo.. Kwamba popote inajulikana thamani yake
 
Kama English ilivyo international language basi ndivyo kwa dollar ni currency yenye nguvu duniani so hutumika kama mzani wa pesa dunia nzima
 
Mimi nimekaa hapa namsubiri polepole na kheri james waje watueleze kiundani
Yaani kwa mfano mradi au kitu kikubwa kikinunuliwa na nchi fulani hela yake hata kama wametoa ya nchi husika lakini itatamkwa kwa mfano " mradi huu wa ujenzi wa barabara ya juu umegharimu dolar za kimarekani sh,labda bilioni fulani" hata kama hiyo nchi imetoa hela yake yenyewe lakini hii hela inatamkwa hela ya nchi nyingine .

Hata kama dolar ni hela za marekani ndio lakini kwa nini kila kitu kikinunulowa kwa hela nyingi kinahusishwa na hii dolar ya kimarekani?naomba kujuzwa
wata onekaje wasomi bila kutaja dolar
 
Back
Top Bottom