wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Hiki cheo kingekuwepo mi nadhani kingesaidia hata majukumu ya waziri mkuu kuwa makubwa na wakati mwingine hata kumpinguzia mh rais kazi kubwa ya kumchagua waziri mkuu mwingine endapo aliepo atapatwa na kashfa labda ya kumpelekea kujiuzulu hata wakati wazjri mkuu akiwa likizo au ziarani huyu naibu wake anaendelea labda na shughuli za bungeni kama zile za kujibu majibu ya papo kwa papo,
Au nyie mnaonaje hili swala..
Nimewasilisha karibuni kwa mjadala
Au nyie mnaonaje hili swala..
Nimewasilisha karibuni kwa mjadala