Hivi kwa nini Konyagi, Bia, Wine, ni pombe halali, Gongo inatiwa pombe haramu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini Konyagi, Bia, Wine, ni pombe halali, Gongo inatiwa pombe haramu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mshume Kiyate, Nov 26, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Great Thinkers.

  Naomba kuuliza ni kwa nini hizi pombe kama Konyagi, Bia, Wine, Wisky, zinaitwa pombe halali?

  Halafu pombe kama Gongo inatwa pombe haramu?
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu Gongo haipitii TBS!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inatengenezwa kienyeji na katika mazingira yasiyo ya kuridhisha sana. Moshi kwetu hua wanatengenezea mtoni. . . tena usiku wa manane.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Gongo haina maini
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lizzy,
  Mbona Mbege, Rubisi, Mnanasi, hawaziiti haramu?
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  Mbege, Komoni, zinapita TBS? mbona hawaziiti haramu?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hazina madhara kama gongo.
  We watu wanachubuka midomo wakinywa ile. . . na maini huko ndani yanakaangika taratibu tu. It's too strong. . . level ya vodka ile ,pengine hata zaidi.
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni mgongano wa kimaslahi.
   
 9. d

  davestro Senior Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarin za asubuh. Gongo na kiroba ni sawa sema tatizo gongo haina kiwango kilichothibitishwa kitaalam.
   
 10. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Gongo inatengenezwa kienyeji. % Alc sio uniform
   
 11. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Upuuzi mtupu na kutotumia vizuri vyanzo vya mapato (kodi). Nchi zote jirani zetu kusini mwa bara la Afrika gongo inauzwa kihalali kabisa!

  Kwa kuhalalisha gongo serikali inaweza kulinda usalama wa afya ya mtumiaji kwani bwana afya atakuwa na wajibu wakutembelea kinywaji inapotengenezwa-itapunguza matumiizi ya mbolea ya chumvichumvi kama raw material au kesi ya Mwanza ambapo kinyesi cha binadamu kilikuwa kinatumika kuongeza ukali wa product!

  Kwa upande wa mapato serikali za mitaa zitaongeza chanzo kipya na KIKUBWA cha mapato kwa kutoza kodi kwa watengenezaji na wauzaji katika vilabu vyao! Hela hii kwa sasa inakusanywa na askari polisi na mgambo ambao wamefanya biashara hii kuwa chanzo hakika na endelevuu cha mapato yao kwani makusanyo hadi yana pangwa kwa wiki au hadi mwezo!

  TRA mnasema hamna vyanzo zipya vya kodi? Wake up giys, siyo kubweteka mkiwaza tuu kupata vyanzo vya rushwa zenu viazi wakubwa!
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,216
  Trophy Points: 280
  mbona komoni, kimpumu, kangala, ulanzi nk havipiti TBS na haviitwi haramu?
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  binafsi roho inaniuma sana ninapoona ndugu zangu wanapolazimika kunywa ile kitu alfajiri tena huku wamejificha na kwa kugugumia yote at once. Huu ni ujinga wa serikali kuipiga marufuku gongo, kwanza ni tiba nzuri ya minyoo ya tumboni!
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  7babu mazingira inayotengenezwa hayajathibitishwa pia pia TBS hawajathitisha na serikali kupitia TRA hawajapata chao kitu
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Si kwavile serikali inawapinga kwahiyo inabidi wafanye kwakujificha
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwenye hizo clab zao serikali si inapata mapato!
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani Kenya walivyoruhusu waliboresha mazingira ya kutengenezea hiyo pombe? Na KBS wanathibitisha hilo?je hawaungui midomo na maini? Tujifunze kwa wenzetu alafu ndo tujue chakufanya
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama sasa hivi viroba vinauza kwenye maduka kila kona, sasa kwa nini Gongo wakataze?
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu vipi Kibuku nayo?
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  :smash::smash: Pombe ye yote ukizidisha ni haramu..
   
Loading...