Hivi kwa nini hunithamini!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Mashairi haya nimeyasikia kwenye wimbo mmoja hivi.......sijui ni nani kaimba!!

Sikujua kama mwingine unamhudumia, ningejua moyoni mwangu nisingekupokea, ukirudi umelewa na dharau huniletea, nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.

Nimechoshwa na vituko na vipigo, majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......

Hivi ni kweli unaweza kumfanyia mpenzi wako haya yanayosemwa kwenye huu wimbo au mtunzi kaongeza chumvi??
 
Yapo sana Katavi,kuna watu wanafanya yote hayo na kuzidi!hapo ndo penzi linapokuwa shubiri
 
Ni kweli haya mambo yapo na yanafanyika .
Watunzi huwa wanaimba hali halisi ya maisha tunayoishi katika dunia ya leo.
Inahuzunisha
 
Lakini mengine yanongezwa kama chumvi jamani..... Hivi ukifanyiwa hayo umepata kuchukuwa kioo na kujiangalia wewe, au unazidi tu kumsema mwenzio tena bila hatua yeyote ya kumkalisha.....?
 
mura mupenzi wako kama humupigi humupendi mura....kure kwetu bunda tuna wachapaga sana....ukimchapa vizuri anaenda kuwa hadisia wenzie mume wake ana mupenda mura....hiro rimura kwenye huo wimbo nimerifagiria sana
 
True kabisa hii inafanyika sana tuuuu mbona. Ukitaka kujua tembelea hospital wodi ya wagonjwa wa vidonda uulize wamefanyaje utapata majibu kiulaini tu
 
Kwa miaka ya sasa m2 mpaka unafanyiwa hayo yote unakua umeamua kwa kifupi unayafurahia na kukubaliana nayo
 
Kama mapenzi ndio haya,naona bora nikimbie
Naona sura ya furaha, iweje leo anibadilikie
Nimechoshwa na vituko na vipigo, majeraha kila siku mpenzi wanguu
Hivi kwa niniiiii, eh eh hunithaminiiiiiiiiiiiX 2 :lalala::lalala::lalala:
 
mura mupenzi wako kama humupigi humupendi mura....kure kwetu bunda tuna wachapaga sana....ukimchapa vizuri anaenda kuwa hadisia wenzie mume wake ana mupenda mura....hiro rimura kwenye huo wimbo nimerifagiria sana
Kwenu huko hata sina la kuongea!
 
Habari zenyu wataalam wa mapenzi ya mujini na vijijini......
 
Mashairi haya nimeyasikia kwenye wimbo mmoja hivi.......sijui ni nani kaimba!!

Sikujua kama mwingine unamhudumia,
ningejua moyoni mwangu nisingekupokea,
ukirudi umelewa na dharau huniletea,
nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.

Nimechoshwa na vituko na vipigo,
majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......

Hivi ni kweli unaweza kumfanyia mpenzi wako haya yanayosemwa kwenye huu wimbo au mtunzi kaongeza chumvi??
wakuraya wanawacharanga masikio.....Upo?
 
we katavi una umri gani!! manake hata ukisema miaka mitatu wapo watoto kibao hushuhudia wazazi wao kugombana, sasa we umezaliwa na kukulia jamii gani unauliza swali kam hili!
 
Back
Top Bottom