Tetesi: Hivi kwa nini hivi vyombo kusema tanzania ni shida

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,716
IMG_0087.jpg


Hapa ndipo unagundua vyombo vya habari kutaja tanzania kama watakosa yote.habari ya bbc swahili
Iliyotoka hipo tofauti na hii ya cnn.

Kwa nini wanapenda kutuonea hawa
 
Suti anayovaa Joni imetengenezwa marekani sasa mnawaita Mabeberu hawawezi kuwathamini
 
Back
Top Bottom