Mkuu tunamwelimisha alieleta hii "thread" maana haelewi na ndio anataka kufahamu.
Ungekuwa unamjibu yeye ungempa jibu hilo kweli?
Richard,
Your wise person. Thanks for your diplomatic answers.
Mkuu tunamwelimisha alieleta hii "thread" maana haelewi na ndio anataka kufahamu.
Ungekuwa unamjibu yeye ungempa jibu hilo kweli?
pia mtambue kuwa hata hao wamisri tulionao huku nje ya Africa hawatambui hii siku tuitayo AFRICA DAY,wao wanasema kuwa hawatoki Africa wao wana toka nchi za KIARABU
nayaongea haya kwa kuwa niko nao hapa na hata vikao vya maandalizi ya AFRICAN DAY hawatokei hata michango wamegoma kutoa
kwa mtindo huu basi ni kweli Ghana itabaki kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Africa,na Misri,moroco na nyinginezi zitabaki kuwa ni nchi za KIARABU