Hivi kwa nini Feza school haiongozi matokeo ya shule ya msingi?

ARUSO

Member
Jul 12, 2017
95
94
Imezoeleka feza schools kuongoza matokeo ya kidato cha 2,4,na sita kitaifa.

Lakini kwa ngazi ya msingi hata haiongozagi wala kutoa wahitimu bora kitaifa,tatizo hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom