Hivi kwa nini baadhi ya sherehe za waislam wanaume ndo wanapika

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Tangu nimekuja huku mjini mara kwa mara hua nikikutana na sherehe za kiislam hua mara nyingi wanaume ndo naona wanapika tena watu wazima kabisa.

Na sio hivyo tuu hivi ule ubwabwa huwa wanaweka nini maana ukiula kidogo mbashiba hadi mnaacha kwenye sinia.

Naomba kuwasilisha.
 
mkuu hilo ni tumbo au handaki la mjerumani? Mana waweza uligeuze kama incubater
 
Tangu nimekuja huku mjini mara kwa mara hua nikikutana na sherehe za kiislam hua mara nyingi wanaume ndo naona wanapika tena watu wazima kabisa..
Na sio hivyo tuu hivi ule ubwabwa huwa wanaweka nini maana ukiula kidogo mbashiba hadi mnaacha kwenye sinia.
Naomba kuwasilisha.
Mbona huulizi kwa nini Mahoteli makubwa wanaume hua ndo wanapika na wanawake huishia kufanya usafi?
 
Tangu nimekuja huku mjini mara kwa mara hua nikikutana na sherehe za kiislam hua mara nyingi wanaume ndo naona wanapika tena watu wazima kabisa..
Na sio hivyo tuu hivi ule ubwabwa huwa wanaweka nini maana ukiula kidogo mbashiba hadi mnaacha kwenye sinia.
Naomba kuwasilisha.
Kuna Sehemu Walikosea Mapishi Wakapika Pilau Inanuka Moshi Wanawake Wakawaziria Hawakula Waliwaachia Wale Wenyewe
 
Wanalipwa wapike

Hiyo ya ubwabwa kulika et wanachukua fumba la mchele kwenye kiganja wanausomea unachanganywa pamoja unapikwa

Hapo ukila kidogo umeshiba, niliisikia kwenye sherehe za shamsil ma'arif wenyeji wa tanga wanaelewa.
Sasa Huo Si Ni Ushirikina ? Raha Ya Chakula Ule Mpaka Utamani Kula Tena
 
Wanalipwa wapike

Hiyo ya ubwabwa kulika et wanachukua fumba la mchele kwenye kiganja wanausomea unachanganywa pamoja unapikwa

Hapo ukila kidogo umeshiba, niliisikia kwenye sherehe za shamsil ma'arif wenyeji wa tanga wanaelewa.
Kumbe ndo maana sinia likijaa hata kama mko 20 mnashiba na kuacha
 
Why not sasa?

Ni ajira kama zingine.

Kuhusu kushiba, tumbo lina limits zake. Hata chakula kiwe kitamu vipi ukishiba utaacha tu.
Uliwahi kuhudhuria kwenye hitma au sherehe yeyote ile?
 
Back
Top Bottom