Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

yaani, maji ya baridi ni mwiko kwangu kama ilivyokuwa kwenye azimio la arusha 'rushwa ni mwiko kwangu'
 
Utakosa mwana kwa maji ya moto,tiririkaaaaaaa mambo ya binaadamu hayo! Raha Jipe Mwenyewe!
 
Me huwa siwaelewi hawa viumbe,unakuta jua ni kali na joto jingi lakn bado utamkuta anachemsha maji ya kuoga..tatizo huwa ni nin wakuu?

SASA KWANI WEWE HUTAKI KEI YA MOTO??

TWAKUSHANGAA MARIJALI WENZAKO ATI...!!

:playball:
 
Nasikia eti wakioga maji moto wasikia raha sana, hasa wakijikanda kwenye maenoe ya K. eti uwa yanawasaidia kuondoa hamu ya kukutana mwanaume! Loh!
 
Wangejua madhara yake baada ya mda ni k kulegea wala wasingeyatumia maji ni ya baridi unajisafisha kwa ufunndi hasa taratibu ni lazims kutumia sabuni mzuri uwe nazo kama tatu deto isikose ikiwemo ya kitoto ili kuleta harufu mzuri kwa k yako so nawapa pole wanaotumia maji ya moto ya nn kwanza joto kwa k linakuja ukimaliza kuoga vizuri unajifumbanda kutendeneza joto kwa k
 
kujifumbanda ndo nin tena mkuu
 
So far sijapata complain ya hiyo concern yako even after kuzaa
 
tena kwa hili joto la Dar sithubutu kuogea maji ya baridi tena nataka yale maji niktia mkono unaungua.kwa kifupi maji ya moto yanatoa uchafu wote mwilini fikiria kwa wale kinadada waliozoea kupaka manukato zaidi ya aina 6?kweli ukioga maji baridi uchafu uliogandamana hautoka hili joto ndo kabisa
 
dah... yan mdau umeniwahi tu hapa leo nilikuwa na wazo la kuuliza swali kama hili... my mummy huwa ananizuia kuoga maji ya moto ila nikimdadisi sana ananambia sio mazuri kwa wanawake ila hasemi ubaya wake... dr. hippocratessocrates tunaomba msaada wako.... je kiafya kuna madhara gani???
 
Last edited by a moderator:
Acha kudanganya wee. No sabuni huko chini, hasa dettol . Kujitafutia magonjwa tu.

Back
Top Bottom