Me huwa siwaelewi hawa viumbe,unakuta jua ni kali na joto jingi lakn bado utamkuta anachemsha maji ya kuoga..tatizo huwa ni nin wakuu?
Wangejua madhara yake baada ya mda ni k kulegea wala wasingeyatumia maji ni ya baridi unajisafisha kwa ufunndi hasa taratibu ni lazims kutumia sabuni mzuri uwe nazo kama tatu deto isikose ikiwemo ya kitoto ili kuleta harufu mzuri kwa k yako so nawapa pole wanaotumia maji ya moto ya nn kwanza joto kwa k linakuja ukimaliza kuoga vizuri unajifumbanda kutendeneza joto kwa k
Hata sijui, nafikiri ni mazoea. Mimi maji ya baridi mpaka daktari aniandikie.Me huwa siwaelewi hawa viumbe,unakuta jua ni kali na joto jingi lakn bado utamkuta anachemsha maji ya kuoga..tatizo huwa ni nin wakuu?
Wangejua madhara yake baada ya mda ni k kulegea wala wasingeyatumia maji ni ya baridi unajisafisha kwa ufunndi hasa taratibu ni lazims kutumia sabuni mzuri uwe nazo kama tatu deto isikose ikiwemo ya kitoto ili kuleta harufu mzuri kwa k yako so nawapa pole wanaotumia maji ya moto ya nn kwanza joto kwa k linakuja ukimaliza kuoga vizuri unajifumbanda kutendeneza joto kwa k
..kumbe wenzangu mnagonga maji ya moto? Na joto hili la dsm? Maana mie maji ya moto nikiwa mkoani tu tena kukiwa na baridi....
Maji ya baridi yalinishindaga pia
page not found