Hivi kwa hii hali Dr Slaa ni kiongozi wa serikali au ni katibu mkuu wa chama cha siasa tu?

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
slaa-na-sugu.jpg

Dk. Slaa akikaribishwa na mbunge wa mbeya mjini, Mh. Joseph Mbilinyi mara baada ya kuwasili maeneo ya Uyole jijini Mbeya jana jioni.


Baadhi ya wabunge na wanachama wa Chadema wakimsikiliza kwa makini Dk Slaa mara baada ya kuwasili jijini Mbeya jana jioni.




Dk. Slaa akishangiliwa na wanachama wake alipokuwa akipita maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya jana jioni.


DSC00463.JPG
Hapa ndugu zangu nimejiuliza maswali mengi sana kuwa kama Dr Slaa ni katibu mkuu wa chama cha siasa (chadema) na si kiongozi wa serikali, na wananchi wanampokea zaidi ya rais, kiashilio chake ni nini??, je Maalimu seif hupokelewa hivi kama katibu mkuu wa CUF? Katibu mkuu wa ccm Mkama je nae hupokelewa hivi??
Hayo ndoo maswali yangu machache kwa JF.

 
jibu unalo mkuu kumbuka enzi za mwalim migambo walitumika kushurutisha watu wajipange barabarani hakika leo jk akipita atalakiwa na wanawake wachache pamoja na watoto wao wengi wakiwa under 15 lakini si kwa shujaa huyu aliyeleta mapinduzi makubwa ya fikra popote anapopita hata mbayu wayu huonekana wakishangilia angani Long life comrade
 
Ndo rais wetu ..tuliomchagua wenyewe,,hapa haina haja ya kuwepo vikundi vya burudani.mapenz yanawasukuma watu kuja kwenye mikutano
 
God blec u dr.slaa tunakuamini tunakuhitaji bado kwa ajili ya ukombozi wa Taifa letu kwa mara pili.
 
Magamba ma3 utamuua jeikei,lowasa kwa pressure

Lazima rais mtarajiwa alindwe isije magamba wakaja na kitambaa cha polonium210 wakamshikisha nacho uson au kwenye ngozi aka wasije wakam-mwakyembe.
 
Sugu ndiyo maana siku hizi ana akili nyingi mno, yaani anamsikiliza Dr Slaa kwa umakini vile!
Big up Sugu, endelea kuchota hekima, akili, werevu,busara nk kutoka kwa Dr wa ukweli nawe utafika mbali mno!
 
Huyo ndie kipenzi cha watanzania wengi, kwa hakika tunaomba Mungu aendelee kumpa busara zaidi na zaidi.
 
Unaambiwa kwa kilomita 22 walikuwa pembeni ya barabara wengine wakiwa mbele ya gari laki wengine wakiambatana na gari wakishangilia kwa vigelegele na shangwe ,Polisi mmoja alisikika akisema nchi imefilisika, maisha yamekuwa magumu watu wana hasira na serikali leo hii hawa wananchi wanaomuona Dr Slaa mkombozi wao tuwazuie waje watugeuzie kibao cha kutuadhibu sisi waache watembee naye mpaka kiu yao iishe , kwa maana nyingine kulikuwa na maandamanao ya mapokezi wakimpokea Raisi wao wa mioyoni
 
Mzee slaa miaka inavyokwenda remind me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. anatembea mikoa CDM inaguvu ili ajipe moyo hayo mapokezi ya Mbeya was one of those kicks.......
 
Back
Top Bottom