Hivi Kwa Hali Hii, Tanesco Mnajitambua Kweli!!!

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Kwa Kweli Kati Ya Mashirika Ya Umma Yaliobakia Serikalini, Kutokana Na Muhimu Wake, Ni TANESCO, Ila Sidhani Kama Viongozi Waliopewa Mamlaka Ya Kuliendesha Hili Shirika Wanajitambua Na Wanatambua Umuhimu Wa Shirika Hili!! HAIWEZEKANI Tuanze Kujadiliana Masuala Ya Kupandisha Au Kushasha Gharama Za Umeme, Wkt Huduma Zenyewe Ni Mbovu!! Suala Kubwa Kwanza Iboreshwe Miundombinu Ya Shirika, Kuanzia Ktk UZALISHAJI, USAFIRISHAJI Na USAMBAZAJI!!! Leo Tanzania Tunazo Source Nyingi Za Umeme Lkn, Hali Ya Upatikanaji Wa Nishati Hii Ni Matatizo!! Miundombinu Ya UZALISHAJI, USAFIRISHAJI Na USAMBAZAJI Ni Duni Mno!! KILA Uchao Ni Matatizo Tu, Mara Wateja Wakose Huduma Kutokana Mvua Imenyesha, Mti Umeangukia Nyaya, Nguzo Imeoza Na Kuanguka, Gari Limekata Nyaya N.k. YAANI Sababu Nyepesi Na Marekebisho Yake Yanakuwa Magumu Mno, Ambayo Uchukua Siku Nzima Au Usiku Mzima Ama Siku Kadhaa!!! Mf. Kama Sisi Wateja Wenu Wa Mkoa Wa Ilala, Wilaya Ya G/mboto, Kitongoji Cha Kitunda, Kila Siku Tunalalamikia Hali Ya Upatikanaji Wa Huduma Zenu Sio Nzuri, Lkn Mnatueleza Suala Letu Linashughulikiwa Na Muda Si Mrefu Kero Yetu Itaisha!! Lkn Hali Ndio Imezidi Kuwa Mbaya Zaidi, J, mosi 5March. Huduma Ilikata Saa 9 Alasiri Tukatoa Taarifa Kuanzia Kwa Meneja Wa Wilaya (G/mboto), Meneja Wa Mkoa Ilala, Mhandisi Mkuu Wa Mkoa Ilala, Meneja Wa Kanda Ya DAR Na PWANI Na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji TANZANIA!!! Tulipewa Ahadi Ya Kurejea Kwa Huduma Ktk Muda Mfupi Tu, Lkn Huduma Ilirejea Saa 2.12 Usiku, Tena Baada Ya Kuwasumbua Mno!! Na Hivi Sasa Ninapoandika UZI Huu, Hali Ni Ile Ile Kama J, mosi Iliyopita Imejirudia Tena!! Tokea Saa 23.43, Umeme Umezima Hadi Muda Huu Saa 03.12. Hakuna Huduma Iliyorejea, Ingawa Mhandisi Wa Mkoa Wetu Amesema Yale Yale Ya J, mosi, Kuwa Mafundi Wako Saiti Kutafuta Chanzo Na Kutatua Haraka!!! LKN "Wakubwa " Wengine Wao Wamelala Tu, Hakuna Majibu! Huku Wateja Wao Tukikesha Kwa Joto Hili La DAR!!! Kwa Kweli Shirika Hili Limekuwa Na Maneno Mengi Mno, Lkn Utekezaji Ni Mdogo Mno! TUNAOMBA Serikari, Kama Hili Shirika Lina Hali Mbaya Kiuchumi, Mlisaidie Na Kama Tatizo Sio Pesa, Basi Hebu Watazameni Viongozi Na Watendaji Walioko TANESCO, Huenda Hawaendani Na Kasi Ya Ongezeko La Mahitaji Ya Nishati Hii Hapa Nchini!!! Au Wanafanya Kazi Zao KIMAZOEA Tu!!! HAIWEZEKANI Mteja Ninunue Umeme (LUKU) Tena Kwa Gharama, Nilipe VAT 18%, REA, EWURA Na SERVICE CHARGES!! Alafu Sasa Nahitaji Kutumia Huduma Iliyoilipia Kabla Ya Kuitumia, Naikosa Ktk Muda Wangu Wa Kuhitaji, Nalala Gizani, Naumia Na Joto, Vitu Vinaharibika Ktk Majokofu, Napata Mashaka Ya Usalama Wangu Na Mali Zangu, Kutokana Na Kuwepo Na Ukosefu Wa Huduma Nyakati Hizi Za Usiku!! ILA Ninyi "Mabosi " NYUMBA Zenu Mnazoishi, Ambazo Mnalipiwa Au Zimejengwa Na Shirika, Kutokana Na Mapato Na Kodi Zangu, Mnakula Kipupwe Tu, Kwa Vile Mmewekewa Majenereta Ya Dharula!!
 
Back
Top Bottom