Hivi kuwalazimisha watu watoe michango waliyoahidi ni sawa?

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,641
6,267
Kuna mtu aliandaa sherehe ya arusi lakini ili kufanikisha sherehe akaitaji michango toka kwa ndugu na marafiki.
Kwa kuwa alikua maarufu sana watu mbalimbali walijitokeza kumchangia ili afanikishe hiyo harusi.

Wengine walitoa cash wengine ahadi, michango ilipozidi kumiminika akabadili gia angani akaanza kujenga Nyumba yake binafsi, waliokwisha kuchanga wakawa wanashangaa make hakuficha aliwaambia kuwa michango imekua mingi na bado kuna watu wameahidi kuleta, hivyo hizi zilizotangulia nimeona nijenge nyumba.

Baada ya mda akaona wale walioahidi hawaleti michango yao, sasa kawatangazia kuwa lazima ile michango itolewe.
Hivi ni sahihi kumlazimisha mchangiaji atoe ahadi yake wakati anaona michango ya waliotangulia haikulenga kusudio la kuchanga??
 
Mambulula ni lazima wachangie hata kama hawataki.
Wanaojitambua kamwe hawawezi lazimishwa kuchanga.
 
Ni jambo la ajabu sana. Anaye changia anapenda kuona hela aliyochangia inafanya kazi iliyokusudiwa kufanywa na mchango huo. Moja ya vitu vinavyo katisha tamaa wananchi kuchangia maendeleo yao ni pale wanaoona wanachanga hela inaliwa na wajanja. Huu usemi unaosema nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno unanichosha sana akili.
 
Kwani hujui ahadi ni deni? Deni hudaiwa wala sio hiari kulilipa bali ni lazima. Hata kwa Mungu ni heri kutoweka nadhiri kuliko kuiweka ukashindwa kuitimiliza; ni kosa lenye adhabu mbele za Mungu.

Ulipoweka ahadi yako ulikuwa unafurahisha baraza au? Au sifa? Hujiulizi ni kwa kiwango gani umevuruga mipango ya watu kwa kutotimiza ahadi yako? Tuache usanii kwenye mambo ya msingi au mipango ya wengine.
 
Siyo kwa Staili ya Bukoba
 
Kutoa ahadi ni hiyari Ila kutekeleza ulichoahidi kwa hiyari si hiyari!

Mzee alishasema Ana orodha ya Waliotoa ahadi na watekeleze ahadi zao Mara moja!
 
kwa kweli ni aibu na inasikitisha michango ya wadau kwa ajili ya wahanga wa tetemeko kagera kutaifishwa na serikali.
kila mdau aliyejitolea chochote kwa ajili ya waathirika wale alitarajia kinakwenda moja kwa moja kuwasaidia.wala wadau hawakutarajia kuwa kumbe wanaichangia serikali.
leo hii wahanga wale wanapoambiwa kuwa kuwa wasitarajie kupata msaada wa kujengewa nyumba,halafu wanaona pesa zilizowalenga wao zinapangiwa matumizi mengine ambayo serikali ndiyo ilitakiwa iwajibike moja kwa moja inahuzunisha sana.
hivi hao wanyonge ambao serikali hii inajinasibu kuwa inawajali wanaishi tanzania ipi?
hivi tunachotaka kuaminishwa ni kuwa kama michango isingetolewa hata hiyo miundombinu,mashule na hospitali visingekarabatiwa?
hivi kwa mtindo huu wa serikali kutaifisha misaada ya waathirika wa kule kagera, tutarajie nini kama likitokea janga jingine kubwa nchini mwetu?
Mungu aepushie mbali.
 
Ni jambo la ajabu sana. Anaye changia anapenda kuona hela aliyochangia inafanya kazi iliyokusudiwa kufanywa na mchango huo. Moja ya vitu vinavyo katisha tamaa wananchi kuchangia maendeleo yao ni pale wanaoona wanachanga hela inaliwa na wajanja. Huu usemi unaosema nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno unanichosha sana akili.
Alafu mtu anatishia eti lazima mtoe ahadi zenu!
 
Kwani hujui ahadi ni deni? Deni hudaiwa wala sio hiari kulilipa bali ni lazima. Hata kwa Mungu ni heri kutoweka nadhiri kuliko kuiweka ukashindwa kuitimiliza; ni kosa lenye adhabu mbele za Mungu.

Ulipoweka ahadi yako ulikuwa unafurahisha baraza au? Au sifa? Hujiulizi ni kwa kiwango gani umevuruga mipango ya watu kwa kutotimiza ahadi yako? Tuache usanii kwenye mambo ya msingi au mipango ya wengine.
Ahadi ni deni lakini siyo kisa nimeahidi hata nakuona unavyotumia sivyo eti nitoe tu.
 
Kutoa ahadi ni hiyari Ila kutekeleza ulichoahidi kwa hiyari si hiyari!

Mzee alishasema Ana orodha ya Waliotoa ahadi na watekeleze ahadi zao Mara moja!
Naweza kutoa ahadi kwa hiari lakini siwezi timiza nikiwa naona ahadi yangu haitafanya nililokusudia hata kama ukinilazimisha.
 
Kuna mtu aliandaa sherehe ya arusi lakini ili kufanikisha sherehe akaitaji michango toka kwa ndugu na marafiki.
Kwa kuwa alikua maarufu sana watu mbalimbali walijitokeza kumchangia ili afanikishe hiyo harusi.

Wengine walitoa cash wengine ahadi, michango ilipozidi kumiminika akabadili gia angani akaanza kujenga Nyumba yake binafsi, waliokwisha kuchanga wakawa wanashangaa make hakuficha aliwaambia kuwa michango imekua mingi na bado kuna watu wameahidi kuleta, hivyo hizi zilizotangulia nimeona nijenge nyumba.

Baada ya mda akaona wale walioahidi hawaleti michango yao, sasa kawatangazia kuwa lazima ile michango itolewe.
Hivi ni sahihi kumlazimisha mchangiaji atoe ahadi yake wakati anaona michango ya waliotangulia haikulenga kusudio la kuchanga??

Kabla ya kuchangia mwambie kuwa wao waliahidi harusi ya mume na mke na sio harusi ya mume na jengo. Hapo amevunja mkataba kwani ahadi sio kuchangia jengo bali harusi ili kufanikisha sherehe.

Kwa hiyo jamaa kajipangia zawadi ya maharusi nyumba.
 
No wasitoe hata shilingi, wawasaidie Wananchi Direct, Nunueni Mchele, Unga Mafuta ya Kupikia, Kerosene (Mafuta ya taa) etc na kuwapa wananchi Direct Kuepuka MKWAPUAJI MKUU
 
Kwani hujui ahadi ni deni? Deni hudaiwa wala sio hiari kulilipa bali ni lazima. Hata kwa Mungu ni heri kutoweka nadhiri kuliko kuiweka ukashindwa kuitimiliza; ni kosa lenye adhabu mbele za Mungu.

Ulipoweka ahadi yako ulikuwa unafurahisha baraza au? Au sifa? Hujiulizi ni kwa kiwango gani umevuruga mipango ya watu kwa kutotimiza ahadi yako? Tuache usanii kwenye mambo ya msingi au mipango ya wengine.
Kama nimeona matumizi mabaya ya rambirambi za waliotangulia kutoa mi nitoe kwani cna kazi nazo?
 
Kuna mtu aliandaa sherehe ya arusi lakini ili kufanikisha sherehe akaitaji michango toka kwa ndugu na marafiki.
Kwa kuwa alikua maarufu sana watu mbalimbali walijitokeza kumchangia ili afanikishe hiyo harusi.

Wengine walitoa cash wengine ahadi, michango ilipozidi kumiminika akabadili gia angani akaanza kujenga Nyumba yake binafsi, waliokwisha kuchanga wakawa wanashangaa make hakuficha aliwaambia kuwa michango imekua mingi na bado kuna watu wameahidi kuleta, hivyo hizi zilizotangulia nimeona nijenge nyumba.

Baada ya mda akaona wale walioahidi hawaleti michango yao, sasa kawatangazia kuwa lazima ile michango itolewe.
Hivi ni sahihi kumlazimisha mchangiaji atoe ahadi yake wakati anaona michango ya waliotangulia haikulenga kusudio la kuchanga??

Mkuu kumbuka ahadi ni deni, vinginevyo wasingeahidi!!!!
 
Kwani hujui ahadi ni deni? Deni hudaiwa wala sio hiari kulilipa bali ni lazima. Hata kwa Mungu ni heri kutoweka nadhiri kuliko kuiweka ukashindwa kuitimiliza; ni kosa lenye adhabu mbele za Mungu.

Ulipoweka ahadi yako ulikuwa unafurahisha baraza au? Au sifa? Hujiulizi ni kwa kiwango gani umevuruga mipango ya watu kwa kutotimiza ahadi yako? Tuache usanii kwenye mambo ya msingi au mipango ya wengine.
Aanze yeye kutimiza hizo ahadi kwanza maana aliahidi wanafunzi wote watapata mikopo ...kwa hiyo inawezekana ni malipizi
 
Back
Top Bottom