Hivi, kuwaanzishia au kuanzisha makundi ya wanawake kunawasaidia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi, kuwaanzishia au kuanzisha makundi ya wanawake kunawasaidia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikihinja, Sep 25, 2009.

 1. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Kuna haya mambo ambayo yameanzishwa kwa ajili ya wanawake pekee, je kuna manufaa yoyote wanayoyapata kwa kuanzishwa na makundi hayo..????kuna TAMWA, TAWLA, MEWATA, MALKIA AKAUNTI, UWT, WIZARA INAYOWAHUSISHA WANAWAKE, TANZANIA WOMEN BANK (TWB), ....etc.....etc
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dah mkuu hivi vikundi ni NGO's za wanao jiita wasomi ili wapate ulaji na wanapata kweli fedha angalia akina mama wenye vikundi hivyo vizuri wanavyo tengeneza pesa bila kuvuja jasho.
  Kuna watu wana hitaji misaada kweli akina mama wapo vijijini huko wanataabika kweli kweli wengi wanakosa huduma za msingi kama wanawake lakini vikundi hivyo vimejikita mijini tu huku vijijini hawaendi kama wanaenda wanaenda kwa kuzuga napo mara moja kwa mwaka wanapo andaa report kwa wafadhiri ili wamwagiwe mpunga tena.
  Naona havina msaada wowote ni wizi tu.
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Malkia Acount is better, kwa sababu ni hela yako unaweka mule hawana miujuiza na wewe kama hujaweka hela. Hayo mengine yote yanatupotosha tu wanakula hela eti wanasaidia wanawake. WAMELUBA MJINI HAWAENDI VIJIJINI, KASEMA NANI WANAWAKE WA MJINI TUNA SHIDA???? HE!
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,848
  Likes Received: 14,451
  Trophy Points: 280
  Big up kwa MEWATA na TAWLA pekee. Wengine naona kama miradi ya kujinufaisha tu!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  hata hiyo Mewata na Tawla mbona watu wanjinufaisha tu jamani ...
   
Loading...