MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
Habari wanathnker ni muda mrefu ckuwepo online hii ni kutokana na kufight kwa hali ngumu ya maisha. 2ache hlo leo nimeona 2saidiane suala hil kwa hv sasa naona kama ni fashion kwa watu weng kuwa na mashuga dad au mami katka mahusiano. Mana nilipanda gal kulikuwa na wanafunz wanashindana kutajiana majina na kuwapgia simu hao wa2 wao.Asilimia kubwa nilioiona ni wanafunzi kuwa na mahusiano ya kimapenz na wa2 walio wazid umri mara 5 hivi hii inasababishwa na nini? Na je nini ufumbuzi wake? Hebu 2saidiane kuhusu hl