Hivi Kuwa MwanaSIASA Tanzania ni lazima Uwe Kiongozi?

Kikarara78

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,495
901
Wana JF,
Heshima Mbele,
Nina hili Swali ambalo linanitatiza, naomba mnijuze,
Nimejaribu kufuatilia Siasa zetu na Wanasiasa wetu Tanzania sijapata jibu,
Hivi kuwa Mwanasiasa Tanzania, ni lazima uwe Kiongozi ???
Kwa nini sasa Wanasiasa wetu wengi wanagombea Uongozi ??
 
Nini maana ya Kiongozi? Ni kuonyesha njia. Hivyo kiongozi anaweza kuwepo popote pale ili mradi anaiongoza jamii katika kutatua kero na matatizo yaliyopo.

Nini maana ya mwanasiasa? Hapa kwetu siasa imegeuka kuwa ajira tena yenye kipato kinono. Hivyo watu wengi hupigana vikumbo vya kila aina kugombea ajira hiyo
 
Watanabe na Wana JF,
Nashukuru sana kwa maelezo yako, nililazimika kuuliza baada kuusoma Uzi wa Mbunge wa Nzega akimjibu Pasco,
Ndani wachangiaji wakaanika kuwa alikuwa na uhakika wa kupata Uongozi ama Uwaziri au Unaibu Waziri, matokeo yake akaukosa. Huu ni Mfano mmoja tu wa wanaSiasa wetu.
Nawakilisha

Back
Top Bottom