Hivi Kutumia Kahawa Kwa wingi kuna Madhara yeyote?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Jamani eeh, mi nimekuwa nikisikia Maneno maneno kwamba ukitumia kahawa kwa sana unapata matatizo ya Moyo,, na mimi bila Kahawa Asubuhi bado hujaniambia yaani kila siku,, nanatumia Strong Cofee,, sasa naomba ushauri ili kama inamadhara nianze mazoezi sasa hivi ya kuacha
 
Aaaah Muheshimiwa eee mbona tunatishana sasa baada ya kusaidiana jamaniii
 
Okay, mi nimeshaona baadhi ya madhara hasa kwenye kahawa ya ROBUSTA zaidi maana nikinywa Africafe baasi kichwa kitaniuma tena sana ni on and off ambacho ni kibaya na nahisi hata presha kidogoooooo inapanda, ila sasa natumia MILD ARABICA kama ile ya Mbinga Cafe na sipati hilo tatizo, so kwa maoni yangu kahawa kama arabica haina shida sana kwa afya kwani imekosa baadhi ya vitu vinavyoleta matatizo kama ya presha.
 
kahawa zote zina kiasi kikubwa cha caffeine. Caffeine haitakiwa kwa mwenye tatizo la kupnda kwa shinikizo la damu, kwa vile yenyewe hupandisha BP.
 
But inasemekana kwamba kahawa ni nzuri kwa afya zetu but not too much as anything too much is harmful.

for more info please GOOGLE now
 
Kwa kweli hata mimi nikinywa kahawa moyo huwa katika hali isiyo ya kawaida hivyo huwa naepuka sana kunywa kahawa. Lakini mbona wazungu wanainywa sana!
 
heeheheheheh Wazungu wana neva system kama zetu, wana mfumo wa ubongo kama sisi, wanakunya kama sisi wana kula kama sisi wanapumua oxygen nakadalika kama sisi
 
Back
Top Bottom