Hivi kutongoza ni kazi hivi!!!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,427
1,456
Ebwana hakuna swala gumu kama kutngoza yani 2nakotoka mpaka unakuwa nae kazi kweli but iweje mwisho mnakuja kua maadui?
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
kwa sababu ya matendo mabaya mliyopeana ndo mwaja kuwa maadui
-kwa kudhan mwenzako ni malaika kumbe ukaja jua ni shetan mzee ndo mwaja kuwa maadui
KWANINI MUWE MAADUI?mnaachana kiusalama tu tena kwa upendop km mlivyokuwa mnatongozana
 

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
191
mimi niliandika thread hiyo nikaomba ikiwezekana kikombe hicho kinipitie mbali nikaitwa domo zege , nashukuru nawe umelitambua hilo
 

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,166
2,914
Tatizo vijana wa siku hizi mmezoea kutumia sana msuli na kulazimisha mambo..sie enzi zetu unamuanza manzi, mambo ya pick-up lines..akiwa interested jibu utalisoma kwene body language yake..then mnaendelea kuanzia hapo.
 

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,251
2,645
kwanzaa miakaa hii akuna kutongozanaa,wee pigaa pambaa kali aka suti,tafutaa usafiri hataa SU or STJ..then park pembeni ya demu muite,kwishaa mchezo
 

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,427
1,456
Domo zege punguza munkari ok mbona hamjasema kama nyny hamjakutana na kz kuwapata mashemej?au ilikua mtelemko?au ndo ile unafukuzia mwaka mzima
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom