Hivi kutengua kila siku hakuoneshi udhaifu wa chaguzi zako?

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,133
15,774
Mtu ambaye anaacha kila siku akioa mara huyu na yule huyu anadhihirisha wazi kuwa hakuwa makini katika chaguzi zake.

Haiwezekani leo unachagua simu hii na kesho unasema haifai kesho kutwa unachsgus simu ile then unaitia kasoro ns kutafuta nyingine,hapa insonesha una tatizo kubwa na wewe na kufanya chaguzi zako

Kiufupi inadhihirisha hauwi makini katika kuchagua ndio maana unakuwa mwingi wa kuacha acha.

Wakati mwingine shida ni kwa anayechagua kukosea pahala pa kuweka jambo pahala linapofiti matokeo yake anachukua kinyesi anakiweka kwenye wallet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....Hakuna mkamilifu, na kufukuzana sio tija, muhimu maelewano na kupeana onyo kabla ya kupigana :confused: masindano ya majipu.
 
Ndivyo tunapaswa kwenda, kwa wahindi unaajiriwa asubuhi saa tano ushafukuzwa kazi na matusi juu, Kuna mzungu alilipoti kazini ijumaa jumatatu asubuhi akafukuzwa
 
kwahiyo ukiwekwa kitengo fulani ndio kama kabila huwezi kubadili.?
 
Mtu ambaye anaacha kila siku akioa mara huyu na yule huyu anadhihirisha wazi kuwa hakuwa makini katika chaguzi zake.

Haiwezekani leo unachagua simu hii na kesho unasema haifai kesho kutwa unachsgus simu ile then unaitia kasoro ns kutafuta nyingine,hapa insonesha una tatizo kubwa na wewe na kufanya chaguzi zako

Kiufupi inadhihirisha hauwi makini katika kuchagua ndio maana unakuwa mwingi wa kuacha acha.

Wakati mwingine shida ni kwa anayechagua kukosea pahala pa kuweka jambo pahala linapofiti matokeo yake anachukua kinyesi anakiweka kwenye wallet.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimtumbua simbachawene kwamba afai Leo kafaa,kichele afai Leo anafaa,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom