• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hivi kutengua kila siku hakuoneshi udhaifu wa chaguzi zako?

safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
5,099
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
5,099 2,000
Mtu ambaye anaacha kila siku akioa mara huyu na yule huyu anadhihirisha wazi kuwa hakuwa makini katika chaguzi zake.

Haiwezekani leo unachagua simu hii na kesho unasema haifai kesho kutwa unachsgus simu ile then unaitia kasoro ns kutafuta nyingine,hapa insonesha una tatizo kubwa na wewe na kufanya chaguzi zako

Kiufupi inadhihirisha hauwi makini katika kuchagua ndio maana unakuwa mwingi wa kuacha acha.

Wakati mwingine shida ni kwa anayechagua kukosea pahala pa kuweka jambo pahala linapofiti matokeo yake anachukua kinyesi anakiweka kwenye wallet.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nktlogistics

Nktlogistics

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
1,731
Points
2,000
Nktlogistics

Nktlogistics

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
1,731 2,000
.....Hakuna mkamilifu, na kufukuzana sio tija, muhimu maelewano na kupeana onyo kabla ya kupigana :confused: masindano ya majipu.
 
E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
12,729
Points
2,000
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
12,729 2,000
Ndivyo tunapaswa kwenda, kwa wahindi unaajiriwa asubuhi saa tano ushafukuzwa kazi na matusi juu, Kuna mzungu alilipoti kazini ijumaa jumatatu asubuhi akafukuzwa
 
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
888
Points
1,000
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
888 1,000
System ya Tanzania ni sawa na bwawa la maji taka, hata uwe msafi vipi au uvae nguo nyeupe vipi ukizamishwa kwenye hayo maji ukiibuka ni harufu ya kinyesi tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
5,031
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
5,031 2,000
kwahiyo ukiwekwa kitengo fulani ndio kama kabila huwezi kubadili.?
 
GIRITA

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
1,608
Points
2,000
GIRITA

GIRITA

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
1,608 2,000
Mfumo wetu ndio huo mpaka mwisho Wa safari bwana @safuheri
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
10,165
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
10,165 2,000
Hata shule mwalimu wa hesabu skitunga mtihani na wakafeli wanafunzi wote basi jua yeye ndie mwenye matatizo wala sio wanafunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Bana likasi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2020
Messages
2,678
Points
2,000
B

Bana likasi

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2020
2,678 2,000
Mtu ambaye anaacha kila siku akioa mara huyu na yule huyu anadhihirisha wazi kuwa hakuwa makini katika chaguzi zake.

Haiwezekani leo unachagua simu hii na kesho unasema haifai kesho kutwa unachsgus simu ile then unaitia kasoro ns kutafuta nyingine,hapa insonesha una tatizo kubwa na wewe na kufanya chaguzi zako

Kiufupi inadhihirisha hauwi makini katika kuchagua ndio maana unakuwa mwingi wa kuacha acha.

Wakati mwingine shida ni kwa anayechagua kukosea pahala pa kuweka jambo pahala linapofiti matokeo yake anachukua kinyesi anakiweka kwenye wallet.Sent using Jamii Forums mobile app
Alimtumbua simbachawene kwamba afai Leo kafaa,kichele afai Leo anafaa,
 
Forum statistics

Threads 1,402,695
Members 530,969
Posts 34,402,565
Top