johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,859
- 141,794
Kumbukumbu zangu zinaonyesha yafuatayo;
Komredi Pascal Mayalla aliwahi kuhojiwa na kamati lakini hakuwahi kuzungumzia kilichojiri japo hata maamuzi ya kamati hatujawahi kuyasikia.
Alhaj Prof Mussa Assad aliwahi kuhojiwa na kamati naye hakusema lolote baada ya mahojiano.
Jerry Slaa alihojiwa na kamati juzikati na alipotoka alionge na waandishi wa habari na kusema hakuna binadamu wa kuabudiwa isipokuwa Mungu pekee.
Zitto Kabwe aliwahi kuhojiwa na kamati na baadse Spika Sitta alimtaka aliombe radhi bunge zima ndani ya ukumbi wa bunge lakini Zitto Kabwe alikataa na kuzuiwa vikao kadhaa.
Wabunge wenzake wa Chadema walimchangia posho akiwa kifungoni.
Askofu Gwajima amehojiwa na kamati juxikati na baada ya hukumu amezungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati mbele ya waumini wa Kanisa lake ibadani.
Swali:
Kuna sheria inayokataza kuzungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati ya maadili pindi shahidi akimaliza kuhojiwa?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
cc: Pascal Mayalla
cc: tpaul