Hivi kutakiwa kutoongea lolote baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge iko kwa mujibu wa sheria au ni ubabe tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,965
2,000
Kumbukumbu zangu zinaonyesha yafuatayo;

Komredi Pascal Mayalla aliwahi kuhojiwa na kamati lakini hakuwahi kuzungumzia kilichojiri japo hata maamuzi ya kamati hatujawahi kuyasikia.

Alhaj Prof Mussa Assad aliwahi kuhojiwa na kamati naye hakusema lolote baada ya mahojiano.

Jerry Slaa alihojiwa na kamati juzikati na alipotoka alionge na waandishi wa habari na kusema hakuna binadamu wa kuabudiwa isipokuwa Mungu pekee.

Zitto Kabwe aliwahi kuhojiwa na kamati na baadse Spika Sitta alimtaka aliombe radhi bunge zima ndani ya ukumbi wa bunge lakini Zitto Kabwe alikataa na kuzuiwa vikao kadhaa.

Wabunge wenzake wa Chadema walimchangia posho akiwa kifungoni.

Askofu Gwajima amehojiwa na kamati juxikati na baada ya hukumu amezungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati mbele ya waumini wa Kanisa lake ibadani.

Swali:

Kuna sheria inayokataza kuzungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati ya maadili pindi shahidi akimaliza kuhojiwa?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

cc: Pascal Mayalla

cc: tpaul
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,718
2,000
Mimi nilifikiri wewe ndio utatuonesha hicho kifungu na sheria husika..... labda useme unataka kumchongea tuu......
Hahahahaha hao uliowataja waliamua kukaa kimya lakini si wote hukaa kimya
 
MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
556
1,000
Nilimshauri Gwajiboy asijibu chochote atakachoulizwa na kamati na ametii.

Kama hukusoma ushauri wangu upitie tena hapa

Kumbukumbu zangu zinaonyesha yafuatayo;

Komredi Pascal Mayalla aliwahi kuhojiwa na kamati lakini hakuwahi kuzungumzia kilichojiri japo hata maamuzi ya kamati hatujawahi kuyasikia.

Alhaj Prof Mussa Assad aliwahi kuhojiwa na kamati naye hakusema lolote baada ya mahojiano.

Jerry Slaa alihojiwa na kamati juzikati na alipotoka alionge na waandishi wa habari na kusema hakuna binadamu wa kuabudiwa isipokuwa Mungu pekee.

Zitto Kabwe aliwahi kuhojiwa na kamati na baadse Spika Sitta alimtaka aliombe radhi bunge zima ndani ya ukumbi wa bunge lakini Zitto Kabwe alikataa na kuzuiwa vikao kadhaa.
Wabunge wenzake wa Chadema walimchangia posho akiwa kifungoni.

Askofu Gwajima amehojiwa na kamati juxikati na baada ya hukumu amezungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati mbele ya waumini wa Kanisa lake ibadani.

Swali:

Kuna sheria inayokataza kuzungumzia yaliyojiri kwenye kikao cha kamati ya maadili pindi shahidi akimaliza kuhojiwa?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

cc: Pascal Mayalla

cc: tpaul
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,020

Unafiki utakutoa roho! Kuwa wazi hapa ya kwamba unamchongea mchungaji Kwa mwajiri wake utakuwa umejitendea haki!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,965
2,000
Unafiki utakutoa roho! Kuwa wazi hapa ya kwamba unamchongea mchungaji Kwa mwajiri wake utakuwa umejitendea haki!
Mchungaji hana cha kupoteza.

Yeye ameitwa kuihubiri kweli na ndipo aliposimamia hadi leo

Kweli imemuweka huru tofauti na wale wenye ndimi mbili.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,965
2,000
Nilimshauri Gwajiboy asijibu chochote atakachoulizwa na kamati na ametii.

Kama hukusoma ushauri wangu upitie tena hapa

Ulifanya jambo jema bwashee!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom