Hivi kupigwa kibuti na mpenzi au kufiwa na mpenzi ipi inauma sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kupigwa kibuti na mpenzi au kufiwa na mpenzi ipi inauma sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by katelero, Dec 31, 2010.

 1. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ................................
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  vyote vinauma ila msiba unauma zaidi kwani mwenzio ndiyo huwa kayarudia mavumbi ya nchi
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh,jamani hata hulo unahitaji kusaidiwa?
  ukiambiwa ufe au uachwe unachagua nini?
   
 4. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mhh hapo yote ni mitihan maana ukipigwa kibuti then unaendelea kumwona anapeta na m2 mwingne utaendelea kuumia, akifa napo ndo vilio haviishi ingawa itafikia muda utasahau
   
 5. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  kibuti nacho unaweza kuumia hata miaka 5, kama utakuwa unamuona kila mara ila kifo nadhani kusahau ni rahisi
   
 6. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nahitaji kusaidiwa mpendwa, hapa siongelei kufa mimi ila huyo mwenzi ( sijawahi kufiwa ila nataka kujua tu, ila nimekuwa naumia sana pale kibuti kinapotokea)
   
 7. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama nampenda sana kuliko awe na mwanamke mwingine ni bora afe tukose wote.ntaumia then yataisha.hii ya kukosa na kuumia muda wote ni mateso zaidi
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Please Hakuna hata comparison.... Bora upigwe kibuti kutakuwa na closure. Kwamba fulani hakupendi hakuna kujiuliza if...... au ingekuwaje.

  Lakini Kufiwa ni kuondokewa na mtu ambaye ulikuwa unampenda na yeye anakupenda. All those good memories....
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kibuti kama unakiendekeza ofcourse kitakuuma,kila siku unatakiwa kuchagua either a gud or a bad day,kifo ni mpango wa Mungu na lazima kiume sana coz maybe mlikuwa na mipango mingine mikuuuubwa,lkn kibuti nadhani unaweza kumshukuru Mungu coz huwezi jua amekuepusha na nn kumbuka kila mtu anaubavu wake Mungu kamuandalia so inawezekana si ubavu wako huo,anything thats hurt u its not urs.(he/she,is not the only fish in the pond!)
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  You can't compae kifo and passerby
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mi nikiwa naye huwa naomba yote hayo yasinitokee,ila ikitokea akanipiga kibuti ndio huwa naona bora afe tu,na wakati mwingine namuombea hata akutane na nyoka nikiwepo ili mimi nimsaidie nyoka amng`ate vizuri.
   
 12. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ulishawahi kufiwa mpenzi uliempenda sana, ulijisikiaje kwani nataka kufahamu tu kama maumivu huwa ni sawa
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Maswali mengine bwana lol Kibuti hakiumi sana kama kumpoteza mwenza wako .
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Duh kuna watu kweli wanafikira za kiselfish sijaona mfano.

  Yaani yaani unatafuta wepesi wa nafsi yako kiasi cha kujiuliza kama ni bora kwa mwenzi wako kufa kuliko kukuacha.

  Huyu alokuwa mpenzi wako unaesema unampenda sana unaweza kumfikiria kufa kweli!
   
 15. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Fl1 ushawahi kufanya huo utafiti au una hisia tu kuwa mtu akifa ndo utaumia zaidi
   
 16. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu umepiga vibuti vingapi na wewe umepiga vingapi! hebu wote hao wageuze marehemu. inakaaje hii
   
 17. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapana gaijin sio kwamba nafikiria mpenzi afe ila nataka kujaribu kujua kama maumivu ya kuachwa na kufiwa huwa yanafanana
   
 18. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,770
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Word!
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Lisa Mkao huo, duh!! :A S-alert1:
   
 20. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mikao, mikao jamni !!!????? :A S-alert1::A S-alert1::A S-alert1:
   
Loading...