Hivi "kupiga ngenga" maana yake ni nini?

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,400
Nlisikia iyo sentensi kwenye nyimbo ya harmonize inaitwa "kushoto kulia" Harmonize alisema "sipigi ngenga, pesa ninayo", sasa najiuliza kupiga ngenga maana ake ni nini?
 
Wewe utakuwa umezaliwa baada ya mwaka 2000 kupanda juu.
Huu msemo ulitumika sana miaka ya nyuma na ulianzishwa na wasanii enzi za akina Juma nature na Zay B,Sister P.
Itakuwa ndio ulikuwa unazaliwa kipindi hicho
 
Nlisikia iyo sentensi kwenye nyimbo ya harmonize inaitwa "kushoto kulia" Harmonize alisema "sipigi ngenga, pesa ninayo", sasa najiuliza kupiga ngenga maana ake ni nini?
"wamejaa roho mbaya , ngenga na chuki tu "Juma Nature
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom