Hivi kuoa/olewa kutoka family friend ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuoa/olewa kutoka family friend ni sahihi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papa Mopao, Jun 18, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Kuna kitu nilikuwa najiuliza kuhusu uhusiano wa wapendanao ambao familia zao ni marafiki (family friend), hivi inakubalika hao wapendanao kufunga ndoa? maana ni kitu ambacho sijawahi kushuhudia kwa upande wangu.
   
 2. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
   
 3. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inawezekana na huwa zinakuwa nzuri zaid kwani mnakuwa mnafahamiana zaidi hasa kitabia
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Aisee! kumbe ni kitu ambacho kinawezekana eeh!? maana nlikuwa najiuliza kweli khs hili! Asante sana kwa mchango wako mkuu!
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Etieh!? Kuumbeee! Asante sana kwa mchango wako!
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Inawezekana na binafsi naona ni jambo zuri sababu mtakuwa mnajuana. Ila shida ni pale ndoa ikivunjika basi inaathiri hata hayo mahusiano ya familia husika
   
 7. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Ok! kumbe ni jambo zuri, sikuwahi kushuhudia haya mahusiano, nadhan hata ndoa ikiwa na matatizo ni rahisi kuweka mambo sawa!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  tena wazazi huwa very happy kwa ndoa za hivyo
   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Au siyo, dah kumbe inalipa aisee! ngoja nianze kurusha ndoano huko hahahahaa!
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  yaani hii ni bomba sana unakuwa umemuoa sio tu mke bali rafiki pia ambae unamjua sana kuanzia mnakua mpaka amekua mtu mzima, tabia zake pia na anapenda nini na anachukia nini,,,,,oa tu mopao
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,497
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  Mh!Inaonekana jamaa kadata!Go on,its gud!
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Eeeeh dah umenipigia tafu ya nguvu aisee, nimekupatia thanks hapo kaka!
   
 13. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaa! Mkuu naona umeniongezea petrol ya kutosheleza safari nzima moyoni,shukrani kwa kunisapoti mkuu! Chukua thanks hapo!
   
 14. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vizuri sana ,kwani kuoa sehemu ,unayo ijua unakua unapata kujua wale watu vip wana behave, usije kwenda posa sehemu kumbe wakorofi watukanifu,but sehemu una wafahamu lazima utajua ni watu wa aina gani,
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,614
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  where your heart is.....that is where your treasure is................
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Asante sana Wahida! Nimekupa thanks mkuu!
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Wewe point zako ni fupi fupi lkn zimebeba ujumbe wa kutosha kama wenzako wote waliochanga,chukua thanx baba!
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Papaa hiyo haina tatizo kabisa..Urafiki unadumu zaidi!..Pia unakuwa umewafahamu watu kwa kipind kirefu, kuanzia unaetaka kumuoa na familia yake nzima..
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nadhan itakusaidia hata ukapewa kakipande ka ardhi ile mjenge....na ka starlet pia
   
 20. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Go on brother...
  Good luck!! Ni jambo jema...hata mungu anafurahishwa.
   
Loading...