Hivi kuna yeyote alikuwa na facts za kesi za kina Babu seya

Siasa mbaya sanaaaaa!!

Watu wapo tayari kuumiza wengine kwa maslai Yao tu yakisiasa!!
 
Hili suala huwa nawazaga mno Lina Siri Pana ...ila me nahisi Ni kweli Hawa watu walihusika na walistahili kuwa jela now..ila kwa sababu tulikuwa na raisi mpenda sifa mmbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo...Basi akawaachia...tusubirini kwenye hukumu kwa MUNGU atatuonyesha ukweli wa hili jambo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

vitu vingine mjadili kwa kuacha hisia pembeni kwanza.

baba na watoto wake wawili wanakusanya watoto wa watu na kuwabaka wote kwa pamoja chumba kimoja,ili iweje hasa???

hata ushahidi huna ila umeshahitimisha ujuha wa aliyewaachia.sijui kama hata umemwelewa mleta mada.
 
Hili suala huwa nawazaga mno Lina Siri Pana ...ila me nahisi Ni kweli Hawa watu walihusika na walistahili kuwa jela now..ila kwa sababu tulikuwa na raisi mpenda sifa mmbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo...Basi akawaachia...tusubirini kwenye hukumu kwa MUNGU atatuonyesha ukweli wa hili jambo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Je Mwalimu ambae akiwapeleka watoto kwa Babu Seya kwanini aliachiwa ikiwa naye alikuwa muhusika?
 
UKWELI NI KWAMBA WALE WALIKUWA WANACHUKUA SIRI ZA NCHI NA KUPELEKA WANAKOKUJUA WAO. KUMBUKA ILIKUWA KUANZIA MWAKA 2003
 
Watakuwa wameolewa na kuolewa sasa pengine hao waliowaoa wasijue ndio hao kina baba seya waliwafanya mbaya
walipelekwa ulaya, na kwa mujibu wa members wa Humu JF hao mabinti na vijana wanakana kwamba hawakulawitiwa
 
Kilingeni Ilisikika kuwa nguza alimkula salma ndio ikawa kasheshe ya kula lifetime jail..
 
Back
Top Bottom