konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,666
- 8,582
Nani tena anaminyaminya kalio la Khumbu?Una chochote cha kuzugiazugia wakati unasubiri facts mkuu? Mwingine huko anaminyaminya kalio la khumbu wakati anasubiri facts
Nani tena anaminyaminya kalio la Khumbu?Una chochote cha kuzugiazugia wakati unasubiri facts mkuu? Mwingine huko anaminyaminya kalio la khumbu wakati anasubiri facts
Ahaa baba khumbu upoNani tena anaminyaminya kalio la Khumbu?
Inawezekana watoto waliobakwa walikuwa ni wa hukohuko shuleni kwenu wakati uleMimi sielewi....nadhani nilikuwa primary hii case ikitokea
Ni Kweli, Ila Faiza alikuwa mchafu mchafu sana halafu kachokoziDu kama ni hivyo ujue saa nyingine humu unabishana na bibi na babu zako.Unamjua faiza fox,wanasema eti alicheza utotoni na mama Maria nyerere
Hili suala huwa nawazaga mno Lina Siri Pana ...ila me nahisi Ni kweli Hawa watu walihusika na walistahili kuwa jela now..ila kwa sababu tulikuwa na raisi mpenda sifa mmbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo...Basi akawaachia...tusubirini kwenye hukumu kwa MUNGU atatuonyesha ukweli wa hili jambo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nikukumbushe tu kuwaachia huru babu seya ilikuwa ni ajenda ya upinzani wakiingia madarakani 2015....so waulizwe nao pia waliona nini hapo.
Huyo Babu Seya ni mcongo man halisi na alikuja huku kipindi hiko kama mwanamuziki lkn pia kipindi hiko ndio kulikuwa na wimbi kubwa la kupandikizwa watu nchi mbalimbali ili kujua nini hasa ajenda zao. Yy alikuwa mmoja wapo wa hiyo ishu. Ukumbuke kuwa ilikuw katika utawala wa MKAPA ma sio KIKWETE. Kiutaratibu wa hapa kwetu kesi za uhaini mara nyingi husikii zaidi utaambiwa alibaka au amefanya ujambazi wa kutumia silaha. Alipokuja Kikwete yy alikuja na mfumo kidogo wa kibabe ukivujisha siri za serikali unakula risasi hata kama ni sokoni unapigwa hapohapo. Watu kama wawili (TISS) walipigwa risasi pale Airport kwa kutoa siri kadhaa kwa mashirika ya ujasusi huko majuu.Naona signal zimeongezeka kwenye kifaa changu embu ongezea nyama hapo mkuu.
Kwahiyo unataka kuniambia huyu mzee alikuwa anaufanya kazi DRCHuyo Babu Seya ni mcongo man halisi na alikuja huku kipindi hiko kama mwanamuziki lkn pia kipindi hiko ndio kulikuwa na wimbi kubwa la kupandikizwa watu nchi mbalimbali ili kujua nini hasa ajenda zao. Yy alikuwa mmoja wapo wa hiyo ishu. Ukumbuke kuwa ilikuw katika utawala wa MKAPA ma sio KIKWETE. Kiutaratibu wa hapa kwetu kesi za uhaini mara nyingi husikii zaidi utaambiwa alibaka au amefanya ujambazi wa kutumia silaha. Alipokuja Kikwete yy alikuja na mfumo kidogo wa kibabe ukivujisha siri za serikali unakula risasi hata kama ni sokoni unapigwa hapohapo. Watu kama wawili (TISS) walipigwa risasi pale Airport kwa kutoa siri kadhaa kwa mashirika ya ujasusi huko majuu.
Babu seya amemuoa mkuu wa wilaya mzeeTangu watoke, sijawasikia, wako wapi!?
MmhBabu seya amemuoa mkuu wa wilaya mzee
Sio mkuu wa wilaya, Ni katibu tawala was wilaya.Babu seya amemuoa mkuu wa wilaya mzee
Hao baba na wanawe ni mabakaji yalibaka vitoto vidogo vya shule ya msingi.Nimeikumbuka hii kesi baada ya kuisikia sauti ya hayati kwenye radio wakati anatangaza kuwaachia huru kina babu seya.
Nakumbuka kesi ile ilikuwa na utata wengine wakisema kina babu seya hawakufanya vile vitendo vya kuwalawiti watoto bali walikuwa framed na mtu fulani.Kilichokuwa kinaleta utata zaidi ni pale mwalimu ambaye wanasema alikuwa anawapeleka watoto kwa kina babu seya aliachiwa huru na mahakama.
Na je iwapo kama ni kweli kina babu seya walikuwa wanawalawiti watoto na wakapatikana na hatia na kupewa kifungo cha maisha inakuwaje hayati aliwaachia huru wabakaji?.
Kama ni kweli kina babu seya walikuwa framed kwa amri ya mtu fulani je inawezekana hayati analitambua hill ndio maana aliwaachia huru.
Je ule msuguano wa chinichini kati ya hayati na boss wake wa zamani inawezekana ndio sababu ya hayati kuwaachia huru akiwa anajua kabisa boss wake wa zamani ndio mhusika wa kuwa frame akina babu seya?
je kuna jambo lolote la siri nyuma ya kesi ile ambalo tulikuwa hatulijui.Naamini JF haikosi watu ambao wanalijua jambo lile nje ndani na wanaweza kutupa mwanga.
Kwanini hawakua kwenye team ya kampeni?Babu seya amemuoa mkuu wa wilaya mzee
Nachoamin Magu hakuwa mjinga kias cha kuwaachia wakat wana hatia.Nimetafuta mkuu nimezunguka maduka yote lakini sijaambulia kitu
Wewe leo umeongea kitu cha pekee kabisa ambacho kimeifungua kabisa akili yangu kuhusu swala hiliHuyo Babu Seya ni mcongo man halisi na alikuja huku kipindi hiko kama mwanamuziki lkn pia kipindi hiko ndio kulikuwa na wimbi kubwa la kupandikizwa watu nchi mbalimbali ili kujua nini hasa ajenda zao. Yy alikuwa mmoja wapo wa hiyo ishu. Ukumbuke kuwa ilikuw katika utawala wa MKAPA ma sio KIKWETE. Kiutaratibu wa hapa kwetu kesi za uhaini mara nyingi husikii zaidi utaambiwa alibaka au amefanya ujambazi wa kutumia silaha. Alipokuja Kikwete yy alikuja na mfumo kidogo wa kibabe ukivujisha siri za serikali unakula risasi hata kama ni sokoni unapigwa hapohapo. Watu kama wawili (TISS) walipigwa risasi pale Airport kwa kutoa siri kadhaa kwa mashirika ya ujasusi huko majuu.