Niambie Ni mwaka gani liwale ilipata hati chafu toka toka kwa CAGHahaahhaaa bwashee kama wewe ni mtumishi hapo unaweza kusema viongozi wako hawajitumi?? By the way nimeitolea Liwale mfano, lakini Wilaya za namna hiyo bila shaka zitakua nyingi. Suala la viongozi wa kitaifa kutozuru maeneo hayo ni sababu mojawapo za kupelekea uholela ktk utendaji wa viongozi wa halmashauri. Kuthibitisha hili niambie ni mwaka gani Liwale ilipata hati safi kutoka kwa CAG??
Yamepungua labda ila wenye imani zao wanaenda hadi sehemu mmoja inaitwa ILONGA ipo MOROGORO unapita huko huko ndio njia rahisi.Wenyewe wanasema hayo yalikua zamani. Siku hizi hayapo hayo...
daah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na maporiNi matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundo mbinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu ktk halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
pengine mpo kimakosa apo 😂Liwale ni wilaya ipo huko Lindi ndani kwenye mbuga ya selou
Na lau viongozi wangekua wanaenda enda ungeendelea zaidi. Hasa wangeifungua Liwale kwa kuiunganisha kwa lami kupitia Nachingwea mpaka Masasidaah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na mapori
Huko hamna ninyi ni CHADEMA mno..Changamoto hiyo ipo pia wilaya ya ukerewe labda kwakuwa ni kisiwa viongozi wetu wanaogopa kuvuka maji lakini tunawakaribisha waje kututembelea mara kwa mara nasi tujivunie uwepo wao
ngende marufu sana kwa wazee kama mshana jr, pengine ana hudhuriaga sana hko!daah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na mapori
Eeh..na Wakerewe wabishi mno kwenye siasaKwani viongozi hawatembelei walipo wana chadema?? Au
wanatakiwa kuwa na visa mkuu wahamiaji haramu haoHhaahhaha...! Kwamba itakua sio Tanzania?? Mkuu huko Liwale ndio kwao na Rashidi M. Kawawa
basi watakuwa wapo mbugani pamoja na wanyamaHapana hii wilaya haipo mpakani hivyo ni watanzania wenzetu kabisa
Isee..! Very sad. Basi hizi tozo jamani wazipeleke huko. Ila wasiokuana huruma wanazipinga hizi tozo eti jamani...Ila hii nchi bado sana umaskini ni mkubwa sana, okitoka Babati kwenda Galapo kuna vijiji vipo wilaya ya Kondoa vinaitwa Chubi, Itaswi na Kutish kule utadhani sio binadamu wanaishi, hakuna maji hakuna umeme watu wanakunywa maji machafu wanakunywa ngombe na punda, nilisikitika sana.
Happ ni Km 60 tu kutoka Mkoa wa Manyara
Kayafa hata angetawala miaka 50 asingekanyaga kamwe huko,ule moshi ulimtisha.Aahahahhaa eeh bhana! Ukisikia Ngende ndio huko...