Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Hahaahhaaa bwashee kama wewe ni mtumishi hapo unaweza kusema viongozi wako hawajitumi?? By the way nimeitolea Liwale mfano, lakini Wilaya za namna hiyo bila shaka zitakua nyingi. Suala la viongozi wa kitaifa kutozuru maeneo hayo ni sababu mojawapo za kupelekea uholela ktk utendaji wa viongozi wa halmashauri. Kuthibitisha hili niambie ni mwaka gani Liwale ilipata hati safi kutoka kwa CAG??
Niambie Ni mwaka gani liwale ilipata hati chafu toka toka kwa CAG

Mimi ni mwalimu huku mpigamiti,so sio kwamba nawatetea viongonzi wangu
 
Wenyewe wanasema hayo yalikua zamani. Siku hizi hayapo hayo...
Yamepungua labda ila wenye imani zao wanaenda hadi sehemu mmoja inaitwa ILONGA ipo MOROGORO unapita huko huko ndio njia rahisi.

Huko kuna biashara ya meno ya TEMBO sana.
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundo mbinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu ktk halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
daah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na mapori
 
daah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na mapori
Na lau viongozi wangekua wanaenda enda ungeendelea zaidi. Hasa wangeifungua Liwale kwa kuiunganisha kwa lami kupitia Nachingwea mpaka Masasi
 
daah. Liwale wapi kibutuka, mkunya, mpiga miti, ngende ila wenyeji wake wanajitahidi kuijenga. Hauwezi tegemea kamji kazuri lakini imezungukwa na mapori
ngende marufu sana kwa wazee kama mshana jr, pengine ana hudhuriaga sana hko!
 
Ila hii nchi bado sana umaskini ni mkubwa sana, okitoka Babati kwenda Galapo kuna vijiji vipo wilaya ya Kondoa vinaitwa Chubi, Itaswi na Kutish kule utadhani sio binadamu wanaishi, hakuna maji hakuna umeme watu wanakunywa maji machafu wanakunywa ngombe na punda, nilisikitika sana.

Happ ni Km 60 tu kutoka Mkoa wa Manyara
 
Isee..! Very sad. Basi hizi tozo jamani wazipeleke huko. Ila wasiokuana huruma wanazipinga hizi tozo eti jamani...
 
Back
Top Bottom