Hivi kuna watumishi waliobadlishiwa mshahara tangu kupewa barua za kupandishwa madaraja mwezi Juni 2019?

Kasegela

Senior Member
Mar 24, 2019
127
261
Enzi za JK alieongoza serikali ya wapigaji,wafuja mali na wezi (kwa mujibu wa Musiba na ccm mpya)Kila mwaka Mtumishi akipewa barua ya kupandiswa cheo basi mwezi unaofuata anaanza kufurahi mshahara mpya.

Enzi za Rais JK Kila mshahara wa mwezi wa julai,familia zilikuwa zinabadilisha mlo.

Lakini Tangu huyu wa sasa kuingia ,Mwezi Julai hauna tofauti na mwezi Januari,

Watumishi wanapandishwa madaraja kwenye makaratasi halafu nyuma ya barua ya daraja ameongezwa Mtu anaitwa Aprover,huko hakuna kukatiza ,ukishangaa unagonga mwaka ,baadae unatoka waraka wa kufuta barua ya awali na kutolewa mpya,hii kwa mujibu wa Musiba ndio utendaji uliotukuka.

Sina Mengi,Naomba jawabu,asie na ndugu Dodoma atapanda lini?
 
Mlishaambiwa kuwa kama mnaona mishahara haitoshi mapori yapo mengi tu nendeni mkalime. Nafikiri mnajua cha kufanya 2020.
 
Utakuwa huna uzalendo subirini tumalizie stiaji joji ndipo tutawafikiria
 
Enzi za JK alieongoza serikali ya wapigaji,wafuja mali na wezi (kwa mujibu wa Musiba na ccm mpya)Kila mwaka Mtumishi akipewa barua ya kupandiswa cheo basi mwezi unaofuata anaanza kufurahi mshahara mpya.

Enzi za Rais JK Kila mshahara wa mwezi wa julai,familia zilikuwa zinabadilisha mlo.

Lakini Tangu huyu wa sasa kuingia ,Mwezi Julai hauna tofauti na mwezi Januari,

Watumishi wanapandishwa madaraja kwenye makaratasi halafu nyuma ya barua ya daraja ameongezwa Mtu anaitwa Aprover,huko hakuna kukatiza ,ukishangaa unagonga mwaka ,baadae unatoka waraka wa kufuta barua ya awali na kutolewa mpya,hii kwa mujibu wa Musiba ndio utendaji uliotukuka.

Sina Mengi,Naomba jawabu,asie na ndugu Dodoma atapanda lini?
Na nyinyi Watumishi mpaka mnakera,mishahara,mishahara,Nchi inajenga Miundo mbinu nyie mmekazania mishahara,Rais Magufuli Jenga miundo mbinu mkuu
 
Back
Top Bottom