Hivi kuna watu bado wanaamini nchi hii itatawaliwa na UKAWA?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Nauliza tu wadau, najua kuna watu humu bado hawajaelewa somo kwa sababu ya Mahaba. Lakini kwa mwaka huu haina ubishi Magogoni pale ni pa Magufuli. Chezea CCM na miundo mbinu yake wewe!

Lowasa hawezi kukaa ikulu. Wananchi washasoma mchezo wakatulia, wakabaki wachache wale wa mahaba.

Magufuli rais awamu ya Tano TZ
 
Back
Top Bottom