Hivi kuna wanawake wazuri wa kuoa humu JF

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
Tangia nimejiunga na JF nina miaka 5 sasa JF.

Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu JF
kila ninaekutana nae sio mzuri wa sura wa shepu.

Na kitu kimoja tulichobakiwa na kupewa sisi wanamme ni kuoa tena wale tunaowapenda tofauti na wanawake wao wanasubiria wito toka kwetu.

Imenifanya nijipange upya na kughairi kuoa.
 
Tangia nimejiunga na jf nina miaka 5 sasa jf
Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu jf
Kila nae kutana nae sio mzuri wa sura wa shep!!
Na kitu kimoja tulichobakiwa na kupewa sisi Wanamme ni kuoa tena wale tunaowapenda tofauti na Wanawake wao wanasubiria wito toka kwetu....
Imenifanya nijipange upyaaaa na kugaili kuoa....
Ila huku sio gulio la wachumba bali ni THE HOME OF GREAT THINKERS
 
Ngoja nikupe kaufahamu kidogo kama hujui, asilimia kubwa ya wanawake wenye uelewa na wasomi ni sura ya bibi.
Kamauna taka mke wakujenganae maisha tafuta humu utawapata ma great thinker.
 
Ungekuwa na pesa, wangekuwa walishakung'anga'nia mda tafuta pesa mkuu kama unataka watoto wazuri nenda pale kino, sinza..... au buguruni wale wazuri sana
 
Tangia nimejiunga na jf nina miaka 5 sasa jf
Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu jf
Kila nae kutana nae sio mzuri wa sura wa shep!!
Na kitu kimoja tulichobakiwa na kupewa sisi Wanamme ni kuoa tena wale tunaowapenda tofauti na Wanawake wao wanasubiria wito toka kwetu....
Imenifanya nijipange upyaaaa na kugaili kuoa....
Kukutana nao kivipi kwa mfumo tunaotumia kimawasiliano! Mnalaghaiana pm hadi mnakutana live na kuanza kudharauliana "mishepu"?
Huo muda wa kuchezea namna hiyo mnao?
Ndiyo maana tunasihi sana dada zetu waache umaharage ya mbeya. Wawe wagumu, kuwapata iwe ni adha zaidi ya kuchimba tanzanite.
Hata hivyo nikuulize kama uliisha kutana na wafuatao: kapeace, miss natafuta, miss chagga, kasinde, mbitiyaza, kwa uchache, wabaya hao?
Wacha uzushi. Akiba ya sura zilizoboreshwa humu jf zipo za kumwaga, ila wewe haujawa serious na mambo hayo.
 
Back
Top Bottom